Ni kweli maziwa ya 'FORMULA' yana madhara?

Ni kweli maziwa ya 'FORMULA' yana madhara?

Formula si ndio maziwa ya watoto kwa ujumla, then ndo kuna aina.
we unaulizia yapi? Hayo nliokuambia yanaitwa S26 gold ndo bei yake hiyo
Halaf nimechanganya madesa. Mimi hiyo 14k shs na 19k shs nilikua nikizungumzia lactogen. je kwa hizo bei lactogen ni kweli?
 
wamama nyonyesheni watoto wenu pale inapobidi ni muhimu sana.
hiyo ya maziwa kuleta cancer labda ni new study!!!
 
Back
Top Bottom