Ni kweli maziwa ya mama ni sumu yakinywewa na mtu mzima?

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Posts
1,945
Reaction score
728
Hi JF Doctor!
Jamani mara nyingi nimekuwa nikisikia kuwa ikitokea mtu mzima akanywa maziwa ya mama anayenyonyesha huwa anapatwa na tatizo la kunyofoka nywele na kukonda kupita kiasi,
je jambo hili ni kweli? na kama ni kweli kwanini?
 
Nimeshawahigi kuskia mibaba bar inasifia haya maziwa yalivyo matamu.
Sasa sipati picha wanakaa mkao gani wakiyanywa. Wanakamuliwa ama wanakunywa straight from the source??
 
ngoja nikajaribu ya wyf halafu nitakuja kutoa majibu

kama ni sumu hutatuambia chochote, utakuwa mgonjwa sana au umeshakufa...LoL...ingekuwa ni sumu wengi tumeshakufa manake wakati wa kutudu ukimwandaa wife ukapitisha mdogo kwenye chuchu ingredients fulani za maziwa hutoka na wengi huwa hawazitemi.
 
mmeona eeh!!!!
 
Nimeshawahigi kuskia mibaba bar inasifia haya maziwa yalivyo matamu.
Sasa sipati picha wanakaa mkao gani wakiyanywa. Wanakamuliwa ama wanakunywa straight from the source??

Ndo maana mibaba mingi ina vipara?
 
mi sijawahi kusikia ndo leo nasikia bana.
check
http://www.answer.com/mt/breast-milk/
 
Hi JF Doctor!
Jamani mara nyingi nimekuwa nikisikia kuwa ikitokea mtu mzima akanywa maziwa ya mama anayenyonyesha huwa anapatwa na tatizo la kunyofoka nywele na kukonda kupita kiasi,
je jambo hili ni kweli? na kama ni kweli kwanini?
mi nliwahi sikia mtu aliharisha baada ya kunywa hayo maziwa
 
Sana na hata yalipoanza kukauka nikawa sina hamu tena kunyonya maziwa yake ingawa ndiyo hivyo inabidi kunyonya tu sometime ili kumuongezea nye.ge!

na ndo maana yalichelewa kukauka, yaani mtoto ameachishwa, wewe unaendeleza, yatakauka vipi! hivi utakuwa bonge kitu!!!! loh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…