Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 728
Hi JF Doctor!
Jamani mara nyingi nimekuwa nikisikia kuwa ikitokea mtu mzima akanywa maziwa ya mama anayenyonyesha huwa anapatwa na tatizo la kunyofoka nywele na kukonda kupita kiasi,
je jambo hili ni kweli? na kama ni kweli kwanini?