Iyokopokomayoko
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 1,785
- 442
Hapana mkuu sijanenepa kwa sababu hiyo, nipo tu na afya ya kawaida!
na ndo maana yalichelewa kukauka, yaani mtoto ameachishwa, wewe unaendeleza, yatakauka vipi! hivi utakuwa bonge kitu!!!! loh.