Ni kweli maziwa ya mama ni sumu yakinywewa na mtu mzima?

Ni kweli maziwa ya mama ni sumu yakinywewa na mtu mzima?

kwahiyo dr, unashauri akina baba wawe wanasaidiana na watoto kunyonya? maana wengine walikuwa wanaogopa, sasa umewapa uhakika kuwa hayana madhara, mbona kina mama watakoma sasa!

Wakati mtoto anaendelea kunyonya baba haruhusiwi kunyonya maziwa ya mama.
 
Ni kweli, huwezi kunyonya wakati mtoto anaendelea kunyonya hata radha yake huwa tofauti, ila akiacha mtoto kunyonya baba unaruhusiwa kuendelea nayo kama kawaida yako!

ahahaha,,! kweli? haina nguvu.
 
aya bwana lyokopokomayoko. kila niliona jina lako nashawishika kufanya mazoezi ya kulitamka, sasa nimeandika, sijui nimepatia? maana hili si jina ni balaa!
 
SUZANE vip? Ulishapata ile mimba?

wee acha tu best, nataka nije kuwashukuru sema cm inanizingua, sioni notifications, kitufe cha like, signature hata sielewi

ila nitakuja rasmi Irumba
 
Nimejua Leo kumbe ndiomaana totolangu lakiume halinipendi sisali mpaka lisinzie aisee me nimdau mkubwa wakunyonya wese kwa wife hues napewa kwanza kabla ya mwanangu.
 
Sio sumu,wanaume wengi tuliooa na kujaaliwa kupata watoto tumenyonya hasa maziwa!mie ni mmojawapo na sijawahi kupata madhara yoyote
 
Back
Top Bottom