Iyokopokomayoko
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 1,785
- 442
na ndo maana yalichelewa kukauka, yaani mtoto ameachishwa, wewe unaendeleza, yatakauka vipi! hivi utakuwa bonge kitu!!!! loh.
Hapana mkuu sijanenepa kwa sababu hiyo, nipo tu na afya ya kawaida!
kwahiyo dr, unashauri akina baba wawe wanasaidiana na watoto kunyonya? maana wengine walikuwa wanaogopa, sasa umewapa uhakika kuwa hayana madhara, mbona kina mama watakoma sasa!
Wakati mtoto anaendelea kunyonya baba haruhusiwi kunyonya maziwa ya mama.
ahahaha,,! kweli? haina nguvu.
tafadhali sana naomba tutake radhi,Ndo maana mibaba mingi ina vipara?
SUZANE vip? Ulishapata ile mimba?
Ndo maana mibaba mingi ina vipara?