Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,008
- 17,480
Maeneo gani mkuu wanauza hiyo bei?Wanaofahamu mkoa wa Mbeya mjini njoo mtujuze! Eti,
Mbeya ni jiji kuliko Dodoma? Na, Kitimoto kilo elfu mbili na ndizi tatu bure?
Chai, sio?Labda wa kuwindwa porini
Mkuu ulijibiwa, nasogea maeneo ya Mbeya pia nilitaka kujua.Maeneo gani mkuu wanauza hiyo bei?