Ni kweli mbu wameshindikana

Ni kweli mbu wameshindikana

Mbangubangu

Senior Member
Joined
May 6, 2013
Posts
188
Reaction score
69
Mbu ni hatari sana katika maisha yetu. wanaambukiza Malaria,Mabusha na matende.je ni kweli tumeshindwa kuwamaliza.vp kama serikali ingegawa dawa then itengwe siku moja maalumu kwa kufanya usafi na kupuliza/kumwaga dawa za kuua mbu nchi zima?
 
nchi za kiafrika mtu ni miradi ya watu kama si miradi nguvu zilizotufikia kijinga viwanda via chandarua Vingennua maana na kutokomeza mtu na wadudu engine waharibifu
Mbu ni hatari sana
katika maisha yetu. wanaambukiza Malaria,Mabusha na matende.je ni kweli
tumeshindwa kuwamaliza.vp kama serikali ingegawa dawa then itengwe siku
moja maalumu kwa kufanya usafi na kupuliza/kumwaga dawa za kuua mbu nchi
zima?
 
Bila Malaria inawezekana Tanzania! Tuna Taasisi mbalimbali zinatafiti ugonjwa wa malaria na mbu toka tupate uhuru, lakini inasikitisha kuwa hadi sasa hatujapata mafanikio ya kutokomeza gonjwa la malaria. Taasisi kama zile za Ifakara na Tanga zinatumia mabilioni kila mwaka lakini wapi! Nahisi hizi ni mbinu za makampuni ya madawa huko Ulaya kuendelea kutunyonya!
 
Juhudi kubwa inayofanyika ni kusisitiza matumizi ya vyandarua nadhani nguvu hizi zingetumika kwenye uteketezaji wa mazalio ya mbu tungepata mafanikio makubwa zaidi ya haya. Tatizo kubwa ni hizi sera tuletewazo toka kwa wafadhili nasi tunazipokea kama kasuku
 
Back
Top Bottom