Ni kweli Mkapa alianzisha TRA?

Ni kweli Mkapa alianzisha TRA?

Siyo wazo lake, lilikuwa ni moja ya pendekezo kwenye The Structural Adjustment Program.
Huu ni mfumo uliotokana na Taasisi za fedha za kimataifa yaani IMF na World Bank.
Sisi tuliridhia mfumo huo kisheria baada ya kukidhi matakwa hayo yaliwekwa kisheria wakati Mkapa akiwa Raisi wa Tanzania.
 
Nimelilia?
Nasikiliza hapa tena moja ya hotuba zake changamoto za uchumi alizokutana nazo, uchumi ulikuwa hohehae,nchi madeni kibao na ikawa haikopesheki.

Hakika Mzee wetu Mkapa kafanya kazi kubwa anastahili kuvikwa taji
 
Back
Top Bottom