sblandes JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 6,632 Reaction score 4,737 Jul 28, 2020 #81 Kataskopos said: Siyo wazo lake, lilikuwa ni moja ya pendekezo kwenye The Structural Adjustment Program. Click to expand... Huu ni mfumo uliotokana na Taasisi za fedha za kimataifa yaani IMF na World Bank. Sisi tuliridhia mfumo huo kisheria baada ya kukidhi matakwa hayo yaliwekwa kisheria wakati Mkapa akiwa Raisi wa Tanzania.
Kataskopos said: Siyo wazo lake, lilikuwa ni moja ya pendekezo kwenye The Structural Adjustment Program. Click to expand... Huu ni mfumo uliotokana na Taasisi za fedha za kimataifa yaani IMF na World Bank. Sisi tuliridhia mfumo huo kisheria baada ya kukidhi matakwa hayo yaliwekwa kisheria wakati Mkapa akiwa Raisi wa Tanzania.
M Mdolidoli JF-Expert Member Joined Jun 9, 2020 Posts 221 Reaction score 242 Jul 28, 2020 #82 The Boss said: Nimelilia? Click to expand... Nasikiliza hapa tena moja ya hotuba zake changamoto za uchumi alizokutana nazo, uchumi ulikuwa hohehae,nchi madeni kibao na ikawa haikopesheki. Hakika Mzee wetu Mkapa kafanya kazi kubwa anastahili kuvikwa taji
The Boss said: Nimelilia? Click to expand... Nasikiliza hapa tena moja ya hotuba zake changamoto za uchumi alizokutana nazo, uchumi ulikuwa hohehae,nchi madeni kibao na ikawa haikopesheki. Hakika Mzee wetu Mkapa kafanya kazi kubwa anastahili kuvikwa taji