Nourhan
JF-Expert Member
- Apr 7, 2023
- 1,196
- 3,026
Aisee umenifumbua nilikuwa nashangaa kwenye movie mtu anamtia tia vibao wake up open your eyes.Si kichapo tu, hata mtu akiwa amejeruhiwa kwa ajali ya gari au kingine, akiomba maji usimpe. Atakufa. Kiu ya ghafla inayohusiana na mtu kuumia ghafla inasababisha mwili uingine kwenye relaxation mode, ambayo inaua mtu. Mwili unatakiwa kuwa katika agitated mode wakati umeumia sana. Ni sawa na mtu alieumia anasikia usingizi, usimwache alale mwili uka relax, atakufa. Ndio maana utasikia kwenye movie wakisema "stay with me, stay with me, keep awake, open your eyes" na unatakiwa uwe unamsemesha
Mie pia Dr akaniambia usilale pambana na hio hali nilikuwa nashonwa nikachomwa ganzi nikasikia masikioni ziiiiiiii nikasikia usingizi mzito nikamwambia dr akaniambia kataa hio hali usilale ndugu yangu akaambiwa awe anisememesha aniamshe nisilale.