Ni kweli mtu akichezea kichapo cha kutosha ukimpa maji anaweza kufariki?

Aisee umenifumbua nilikuwa nashangaa kwenye movie mtu anamtia tia vibao wake up open your eyes.

Mie pia Dr akaniambia usilale pambana na hio hali nilikuwa nashonwa nikachomwa ganzi nikasikia masikioni ziiiiiiii nikasikia usingizi mzito nikamwambia dr akaniambia kataa hio hali usilale ndugu yangu akaambiwa awe anisememesha aniamshe nisilale.
 
Habari ndugu zangu,

Naomba kuuliza,hivi ni kweli mtu akichezea kichapo cha kutosha ukimpa maji anaweza kufariki? Na je, kama ni m kweli ni kitu gan upelekea hali hiyo.
Wataalam msituache bure hapa!
Pia kuna mwizi alipatiwa kipigo,mkongoto wa nguvu na alipokuwa hoi bin taaban akanyweshwa Azam energy akawa anasubiriwa apate nguvu ili apigwe tena!.
 
Hii post yako imenitisha sana maana mimi kila nikitoka jogging huwa nakunywa maji ya baridi yaani hapa natetemeka mnoo

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Aisee

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Ebhanaee nimekubali kabisa hata kabla sijaingia gugo mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…