Ni kweli Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulishinikizwa na mabeberu?

Huu muungano hata sisim wenyewe wanajua ni cha kike basi tu vile unafiki mwingi na kuna nguvu ya ziada ya wakoloni.
 
KULIKUWA NA VITA KALI SANA KIPINDI HICHO MIAKA YA 1961 KATI YA ...

UBEPARI.
UKOMONIST.
 
Na ujinga ulikuwepo wa viongozi wasioangalia future ya nchi yao na vizazi vya baadaye kama Nyerere.

Yaani alihiari kuivamia Zanzibar na kuuwa maelfu ya raia wasio hatia eti kulinda nchi yake Tanganyika na vita vya kikabila na udini badala ya kujikita kuyaunganisha makabila kuendeleza uchumi na kuweka utawala wa kidemokrasia na sheria.

Matokeo yake kaipeleka arijojo Tanganyika na Zanzibari yake pia.
Laana imshukie Nyerere
 
Laana ikushukie wewe na kizazi chako,Pamoja na mapungu yake ila JKN alifanya kazi kubwa sana katika taifa hili,wewe mla mihogo na pweza umefanya nini katika taifa hili zaidi ya kulalamika na kilialia kama malaya.
 
Yaani jinchi kubwa na tajiri Tanganyika limemshinda kuliongoza mpaka kwenda kuuwa watu kwa maelfu kwenye kijinchi kidogo Zanzibar ambacho kinaingia mara Zaidi ya laki moja katika ardhi ya Tanganyika , wewe unamwona ana akili mshenzi yule ? Kwa Roho yake mbaya nchi yote taabani , yaani eti Watanganyika wanakuja Zanzibar kutafuta maisha , Si wazimu ni kitu gani ? Jinchi tajiri na ardhi ya kutosha , Nyerere kawaharibu akili, Laanatullahi Nyerere.
 
Back
Top Bottom