Dammdaeok
JF-Expert Member
- Feb 13, 2022
- 300
- 917
Hapo sasa watakuwa unawaona ndezi au?Hoja ya Serekali moja ni kitu ambacho kwa wazanzibari haiwez kukubalika, Kwa Tanganyika munaona ni jambo jepesi mana nyinyi ndio mutakaokwenda kunufaika nayo. Je mutakua tayri kuwe na serekali moja ambayo makao mkuu yake yawe Unguja, Raisi wa JMT atoke Unguja, Wakuu wa Idara zote kuanzia TISS, JWTZ, TANPOL na nyengine nazo watoke Unguja, Je watanganyika mutakua tayari nahilo?