Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
- Thread starter
- #21
KumbeHiyo ni kwa mujibu wa 'declassified' CIA reports ambazo zilikuwepo kwenye mitandao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KumbeHiyo ni kwa mujibu wa 'declassified' CIA reports ambazo zilikuwepo kwenye mitandao.
Sasa ni kwa Nini waliwapa Uhuru Ile serikali ya waliyoiacha, Kisha baada ya miezi michache wapange tena kuipindua?
Si wangeacha kuipa Zanzibar Uhuru chini ya Waarabu?
Kwa Zaire naweza nikaelewa, Lumumba alikuwa communist, na serikali za kikomunisti zilikuwa zikipinduliwa kipindi kileSerekali walioipa uhuru hawakuitaka ila mazingira ndio yalishalazimu yawe hivyo mana ilishinda kila chaguzi walizoziweka. Kwahio ndio wakaja na plan B ya mapinduzi.
Hayo hayakua mageni mkuu, Yaliyotokea Zanzibar ndio yaliyotokea Zaire, Burundi na nchi kadhaa nyengine Africa.
Mbona sisi tulifuta yetu? Au tu mazuzu! Hakuna kitu naamini kitafuta kero za muungano kama kuwa na serkali moja. Hata serkali tatu sio jibu maana ni mlango wa kutengana mazima.Hivi unafikiri hao Zanzibar watakubali kufutiwa Serekali yao?
Kwa Zaire naweza nikaelewa, Lumumba alikuwa communist, na serikali za kikomunisti zilikuwa zikipinduliwa kipindi kile
Ila Zanzibar serikali ya Waarabu haikuwa na itikadi za kikomunisti. Sababu ilikuwa ni nini
Mbona sisi tulifuta yetu? Au tu mazuzu! Hakuna kitu naamini kitafuta kero za muungano kama kuwa na serkali moja. Hata serkali tatu sio jibu maana ni mlango wa kutengana mazima.
Kusema kwamba tumewahonga ili tuendee kuwatafuna..sema nini mahaba ya zenji matamu..bahari yote ipo Tanganyika.Nyinyi mlifuta yenu na mkajimilikisha SMT.
OkaySababu zilikua ni nyingi sana, Wakoloni walipendelea kuwaachia nchi wale watu ambao wasingelileta athari kwao, Wale Hizbu walikua ni mwiba kwao, moja ya tatizo kubwa kwao ni Kuwa Hizbu walikua ni wanamini kwenye siasa za Arab Nationalism kitu ambacho Mabeberu walikua hawataki hata kukiona. Na Pia walikua wana misimamo mikali juu ya Mgogoro wa Israil na Palestina.
Mabeberu wana roho mbaya sana, Wale wote ambao waliwakereketa vilivyo kwenye kudai uhuru waliwalipa kwa kuwakomoa. Pia tazama nini kiliwakuta Seychelles.
Huu ndio ukweli watanganyika hawataki kusikia. Mwalimu aliomba msaada wa malkia Elizabeti kudhubiti uasi jeshini.Hao mabeberu ndio waliokua master planer, Unafikiri Zenj bila ya baraka ya Mabeberu kungelifanyika mapinduzi? Mbona Bara mapinduzi yalishindikana licha ya kua Nyerere alikua kashivishwa Hijabu na kukimbia.
Huu ndio ukweli watanganyika hawataki kusikia. Mwalimu aliomba msaada wa malkia Elizabeti kudhibiti uasi jeshini.Hao mabeberu ndio waliokua master planer, Unafikiri Zenj bila ya baraka ya Mabeberu kungelifanyika mapinduzi? Mbona Bara mapinduzi yalishindikana licha ya kua Nyerere alikua kashivishwa Hijabu na kukimbia.
Duh...
Ila kwa nilivyosikia Tanganyika kama ilishiriki mapinduzi yale basi ilikuwa kwa siri sana... Sasa huyu bwana wa Ushelisheli alikuwa na intelijensia gani kugundua ushiriki wa Tanganyika kwa kipindi kile akiwa mtu mdogo tu.?
Duh...
Ila kwa nilivyosikia Tanganyika kama ilishiriki mapinduzi yale basi ilikuwa kwa siri sana... Sasa huyu bwana wa Ushelisheli alikuwa na intelijensia gani kugundua ushiriki wa Tanganyika kwa kipindi kile akiwa mtu mdogo tu.?
Nimesikia alipokuwa akisema alipohudhuria sherehe za uhuru Zanzibar alivyoshtuka baada ya kufuatwa na balozi wa wa China Tangangika, na kueleza hakuwa na uzoefu wa mambo kama hayoUnaposema akiwa mtu mdogo tu unamaanisha nini?
Nimesikia alipokuwa akisema alipohudhuria sherehe za uhuru Zanzibar alivyoshtuka baada ya kufuatwa na balozi wa wa China Tangangika, na kueleza hakuwa na uzoefu wa mambo kama hayo
Usiri gani,wakata mkonge toka tanga inadaiwa walipelekwa huko,mmoja mpaka 2000s hapo slikuwepoDuh...
Ila kwa nilivyosikia Tanganyika kama ilishiriki mapinduzi yale basi ilikuwa kwa siri sana... Sasa huyu bwana wa Ushelisheli alikuwa na intelijensia gani kugundua ushiriki wa Tanganyika kwa kipindi kile akiwa mtu mdogo tu.?
Kumbe CCM (TANU&ASP) ilikuwepo kitambo kabla ya mapinduziHakuwa mdogo kihivo mana mpaka kufika kuhudhuria masuala kama hayo ni tayari alikua mtu wa harakati za kisiasa, ILa tu hakua bado amekomaa kihiivo.
Na mkuu Zanzibar haikuwa nchi ya mwanzo kupinduliwa Africa, kwhaiyo lilikua ni wimbi ambalo lipo masikioni.
Na Tanganyika tayari ilishakua na shutuma nyingi za kuji involve kwenye mambo ya Zanzibar.
Nyerere alikua na shutuma za kuhusika katika kuanzishwa kwa chama cha ASP
Chama cha ASP kiligawika 1959 na moja mgogoro mkuu ilikua ni kwanini Nyerere anaruhusiwa kuingilia mambo ya chama
Serekali ya Tanganyika ilikua ikishutumiwa kupeleka mamluki watu Zanzibar kwa ajili ya Kupigishwa kura
Katika Vurugu za uchaguzi zilizotokea 1961 kulikua na shutuma kuwa vijana waliotumika kufanya fujo wa ASP wengi wao waliletwa kutoka Tanganyika.
TANU walikua ndio moja ya wafadhili wakuu wa ASP
Serikali, na vyombo vya ulinzi na usalama vilikuwa vimelala tu.Usiri gani,wakata mkonge toka tanga inadaiwa walipelekwa huko,mmoja mpaka 2000s hapo slikuwepo