Ni kweli Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulishinikizwa na mabeberu?

Serikali, na vyombo vya ulinzi na usalama vilikuwa vimelala tu.
Kama walipewa Uhuru na kutambuliwa na UN kwa Nini wakawa wazembe kulinda Uhuru huo?
Unavyoongea utadhani kulinda nchi ni sawa na kulinda nyumba...unapigwa mande na marekani,uingereza na Tanganyika,unajilindaje nchi iliyopata Uhuru so zaidi ya mwaka
 
Hata kama, lakini kungekuwa na namna hata Serikali ingejaribu kuyazima hata Kama ingeshindwa, lakini inaonyesha Kama walikuwa usingizini Hadi mlugaluga kama Okello akaweza ku organize mapinduzi nchini mwao

Na hata Kama wasingekuwa na uwezo basi wangeomba mataifa rafiki wangewapa msaada Kama wangegundua hiyo hatari mapema
 
Okello ni mamluki tu,mipango ilianza kitambo,wakampeleka okello Pemba akiwa Kama mfyatua tofali,unachukulia Mambo rahisi rahisi sana
 
So serikali ilikiwa haijui lolote kuhusu hili? Basi ilikiwa na intelijensia mbovu sana
 
Kumbe CCM (TANU&ASP) ilikuwepo kitambo kabla ya mapinduzi

Sasa lakini, serikali ya kipindi hicho baada ya kugundua meddling alizokuwa akifanya Tanganyika kwenye siasa zake za ndani kwa Nini haikuwa alert na kuimarisha ulinzi, au hata kuomba ulinzi kutoka mataifa rafiki?

Maana nasikia ilipinduliwa kiboya sana...ilikuwa Kama kumsukuma mlevi

Zanzibar ilipinduliwa mwezi mmoja tu baada ya uhuru, ndani ya mwezi mmoja ulitegemea wajipange vipi?

Waingereza waliletelekeza koloni lake, Waligoma kutoa msaada wa kijeshi walipoombwa wakati wa mapinduzi yale, wakati Nyerere Kibaraka wao Alipotaka kupinduliwa walihakikisha hang'oki.
 
Serikali, na vyombo vya ulinzi na usalama vilikuwa vimelala tu.
Kama walipewa Uhuru na kutambuliwa na UN kwa Nini wakawa wazembe kulinda Uhuru huo?

MKuu Zanzibar ilipewa uhuru ikiwa na Polisi tu, Haikua na Jesha wala usalama wa Taifa, Hivyo vitu vilikua viundwe baada ya uhuru. Na hao polisi wengi wao walikuwa ni wageni ambao wao wenyewe walishiriki kwenye yale mapinduzi.
 
Hata kama, lakini kungekuwa na namna hata Serikali ingejaribu kuyazima hata Kama ingeshindwa, lakini inaonyesha Kama walikuwa usingizini Hadi mlugaluga kama Okello akaweza ku organize mapinduzi nchini mwao

Na hata Kama wasingekuwa na uwezo basi wangeomba mataifa rafiki wangewapa msaada Kama wangegundua hiyo hatari mapema

Mkuu wa Polisi wa Zanzibar alikua ni Mzungu, Yeye mwenyewe alishiriki kikamilifu kutoa michongo. Yale mapinduzi hayakufanywa na Okelo kama tunavyojaribu kudanganyana, Yale yalifanywa na U.K, U.S.A, Israel na Tanganyika.
 
Duh kumbe..
 
Hivi unafikiri hao Zanzibar watakubali kufutiwa Serekali yao?
ni kweli Zanzibar hapo ilipofikia Tanzania Bara hawataikuta tena wala kuiuliza juu ya Muungano
kwa miaka 10 inayokuja ya hawa Marais wetu wawili mambo ya Muungano Wazanzibar hawatauzungumzia tena km Bara anataka kuvunja avunje tu kwani wapo mbali
 
Wabara hawajawa serious kwenye suala la Muungano, Wananchi wakiipressure kweli serekali panaweza kutokea kitu, kazi yao kulialia mitandaoni tu.
 
Wabara wanajulikana na hawatapiga kelele tena kwa miaka 10 iliyobaki
pia kwetu ni kheri kuliko ilivyotaka kuhamia na kuendelezwa kule kanda ya ziwa bora Zanzibar ijengeke hao sio wabaguzi wenye tamaa.
Mkisema ni Makaburu walishinikiza bado kwangu ni utata, kuna Madagasca, Shelisheli, comoro, bado hawangeshindwa
 
Dah Yule Jamaa wa Chato alikua hatari sana, Jamaa hana mfano, kwa kweli kwa sasa tunapumua.
 
Wabara hawajawa serious kwenye suala la Muungano, Wananchi wakiipressure kweli serekali panaweza kutokea kitu, kazi yao kulialia mitandaoni tu.
Bara waliutikisa Muungano kipindi like Cha Mwinyi hadi Nyerere akaingilia Kati

Mi nafikiri kikwazo kikubwa Cha huu Muungano kubaki Kama ulivyo ni CCM ya Zanzibar, hawa wangeamua kuungana na kuipa pressure Tanganyika, marekebisho makubwa yangepitishwa.

Wangeanza kwa kuamua kumpitisha mgombea mmoja tu wa Urais Zanzibar wanaomtaka wao na kumpeleka Dodoma, waone je Dodoma watamkataa?

Haya Mambo ya kupelekwa wagombea kibao Kisha mnachaguliwa na watu wengine nayo ni kikwazo

Lakini ndio hivyo tena
 
CCM Zanzibar ni hopeless mkuu, wale ni vibarak tu wa CCM Bara hawawezi fanya chochote, NI wasaka tonge tu
 
Muungano ulipangwa hata kabla ya mapinduzi, Moja ya malengo ya hayo mapinduzi ilikua ni huo Muungano
Nani alipanga hayo ?...Mabeberu au viongozi wa Tanganyika na washirika wao kina Hanga ?
 
Waliopanga ni Mabeberu na VIongozi wa Tanganyika ndio walioachiwa Jukumu la kulifanikisha huku malipo ya kazi yao ikiwa ni kuitawala Zanzibar baada ya mapinduzi hayo. Hanga alitumiwa bila ya kujijua na ndio mana siku za mwisho alikua na majuto sana.
 
Ina maana viongozi wa Asp na hata Umma party (Kina Babu) hawakutambua nini kilikuwa nyuma ya mapinduzi hayo ?.....Yaani walishiriki kitu wasichokielewa ?
 
Back
Top Bottom