Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 942
- 2,272
Ni swali tu na mara nyingi ikifikia Muda huo wanasiasa hucharuka.
Hapo awali ilikuwa hivi Ili mgombea ndani ya chama auzike kwa wananchi anakuwa yule mwanasiasa aliyendani ya serikali na akafanyakazi na wananchi wakamkibali.
Kwa mfano. Wkt flan kikwete alipendwa sana japo serikali alipewa mkapa, ikaja
Baadae lowasa serikali akapewa magufuli. Ndani ya serikali nani anaweza akapata chapuo?