Ni kweli mwanaume mwenye pumbu moja hana uwezo wa kuzalisha?

Mkuu kama ni ww ni vizuri ukajielezea kwa ufasaha ukapata msaada.

Hakuna haja ya kumsingizia rafiki yako.
mkuu siyo mimi. ingekuwa ni mimi nibgesema tu. Kwani kuna member anayenijua humu?
 
Si kweli...kuna ninaemjua alifanyiwa operation akatolewa korodan moja..still ana watoto wawili had sasa...aende akafanyiwe..spermiology mbegu ziangaliwe ili apewe ushaur wa kitaalam.
 
Yote yanawezekana
Hali hyo huchangia low sperm count
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…