Tetesi: Ni kweli Mzee Kikwete kazuiwa kuingia kwenye nchi za Kimagharibi hasa Marekani?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Kupitia mtandao wa X, mwanaharakati mmoja ameandika ujumbe akimanisha kiongozi mmoja mkubwa ambae kwa sasa ni mstaafu, amezuiwa kuingia katika nchi moja ya mabeberu.

Binafsi naona nchi hiyo itakuwa ni US kwani kwa nchi za Ulaya, ukipigwa ban, mara nyingi ban hiyo ni kwa nchi wanachama wote wa EU.

Mwanaharakati huyo kaweka na picha ya kiongozi huyo mstaafu.
photo_2026-09-06_13-11-43.jpg

Kama ni kweli, hii ni hatua nzuri na huenda mboga mboga wakaondoka madarakani kama walivyoondoka makaburu wa Afrika ya Kusini Kupitia shinikizo la kimataifa

photo_2026-09-06_13-11-46.jpg

Muda utaongea.
 
Ana nyumba New York kipindi fulani aliirusha kwa habari

Kupitia mtandao wa X, mwanaharakati mmoja ameandika ujumbe akimanisha kiongozi mmoja mkubwa ambae kwa sasa ni mstaafu, amezuiwa kuingia katika nchi moja ya mabeberu.

Binafsi naona nchi hiyo itakuwa ni US kwani kwa nchi za Ulaya, ukipigwa ban, mara nyingi ban hiyo ni kwa nchi wanachama wote wa EU.

Mwanaharakati huyo kaweka na picha ya kiongozi huyo mstaafu.

Kama ni kweli, hii ni hatua nzuri na huenda mboga mboga wakaondoka madarakani kama walivyoondoka makaburu wa Afrika ya Kusini Kupitia shinikizo la kimataifa.

Muda utaongea.
Uncle wangu Jakaya hajapigwa pini kutembea au kwenda nchi yoyote duniani.
 
Ana nyumba New York kipindi fulani aliirusha kwa habari

Ndio watoto wake wanaishi kule
 
Kupitia mtandao wa X, mwanaharakati mmoja ameandika ujumbe akimanisha kiongozi mmoja mkubwa ambae kwa sasa ni mstaafu, amezuiwa kuingia katika nchi moja ya mabeberu.

Binafsi naona nchi hiyo itakuwa ni US kwani kwa nchi za Ulaya, ukipigwa ban, mara nyingi ban hiyo ni kwa nchi wanachama wote wa EU.

Mwanaharakati huyo kaweka na picha ya kiongozi huyo mstaafu.

Kama ni kweli, hii ni hatua nzuri na huenda mboga mboga wakaondoka madarakani kama walivyoondoka makaburu wa Afrika ya Kusini Kupitia shinikizo la kimataifa.

Muda utaongea.
Jakaya hajawahi kulaumu au kulaani wala kutoa rambi rambi mauaji ya Okt29, maana yake kuna complicity(ana husika kiasi fulani).
 
Ana nyumba New York kipindi fulani aliirusha kwa habari

Kumbe huyu Aweso kachaguliwa uwaziri wa maji mara 2 kumbe nyuma yake yupo jk? Dah inawezekana wateuliwa wote ni watu wake
 
Back
Top Bottom