kuzuiwa kuingia marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ni kweli Mzee Kikwete kazuiwa kuingia kwenye nchi za Kimagharibi hasa Marekani?

    Kupitia mtandao wa X, mwanaharakati mmoja ameandika ujumbe akimanisha kiongozi mmoja mkubwa ambae kwa sasa ni mstaafu, amezuiwa kuingia katika nchi moja ya mabeberu. Binafsi naona nchi hiyo itakuwa ni US kwani kwa nchi za Ulaya, ukipigwa ban, mara nyingi ban hiyo ni kwa nchi wanachama wote wa...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuzuiwa kuingia Marekani ni kutokana na mauaji, rushwa na udhaifu wa mifumo ya utambuzi

    Tanzania kuzuiwa kuingia marekani ni kutokana na mauwaji, rushwa, udhaifu wa mifumo ya utambuzi, utekaji hii inahatirisha usalama wa marekani. Tanzania sio nchi salama kwa sasa inawapumbavu wengi sana ndio wanaharibu nchi yetu.
  3. appoh

    JamiiForums Tanzania Moja ya sababu ya Tanzania kuzuiwa kuingia Marekani ni hii japo imefichwa

    Sababu ni nyingi lakin mojawapo ni matukio ya kigaid, rushwa na utawala mbaya.
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatoa tamko kufuatia onyo la Marekani kuhusu Watanzania kuzuiwa kuingia Marekani

    Serikali imeona tangazo la Serikali ya Marekani la kutaka kufanyiwa kazi kwa mambo kadhaa ya kiuhamiaji ambayo yanaweza kusababisha raia wa Tanzania kuzuiwa kuingia Marekani. Naomba kuujulisha umma kuwa tayari Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje imeanza kufanya mashauria- no wa...
Back
Top Bottom