Moja ya sababu ya Tanzania kuzuiwa kuingia Marekani ni hii japo imefichwa

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,939
Reaction score
3,259
Sababu ni nyingi lakin mojawapo ni matukio ya kigaid, rushwa na utawala mbaya.

Screenshot_20251217_173500_Instagram.jpg
Screenshot_20251217_173509_Instagram.jpg
 
Siku mkiacha kuwaabudu wazungu ndo tutapata maendeleo

Watu ambao wanatumia rasilimali zetu Ila bado kuna mtu anawaona wa maaana sana.

Hahaha, viongozi ndo wamezidi kuwaabudu. Tena kwa taarifa yako, viongozi wenu ndo waliko na majumba na hela zao huko kwa wazungu. Wakikutana nao unasikia tu Yes Yes
 
Siku mkiacha kuwaabudu wazungu ndo tutapata maendeleo

Watu ambao wanatumia rasilimali zetu Ila bado kuna mtu anawaona wa maaana sana.
Juz tu mlikua mnawaabudu na kuwaita ndan ya ikulu yetu huku mkichekelea kusifiwa nao leo umegeuka tena point ya msingi ni wazungu na ubaya wao wameshangaa mauaji mliyoyafanya
 
Siku mkiacha kuwaabudu wazungu ndo tutapata maendeleo

Watu ambao wanatumia rasilimali zetu Ila bado kuna mtu anawaona wa maaana sana.
Hao ndio wanunuzi na watumiaji wa hizo raslimali unazoringa nazo acha kelele! Umekaa na uranium miaka yote na hukuitumia licha ya uwepo wa changamoto za umeme wa uhakika.
 
Ni muda wa kuwauliza "Who are you"
 
Ni muda wa kuwauliza "Who are you"
Mmeyalipa madalali wa kuwafanyia lobbying wamekula dola na Leo Trump kawapiga ban. Hamjawahi kumiliki akili huko ccm! Msumari mwingine umegongwa na foreign ministers wa EU Leo, mtaukalia tu na "who are you". March siyo mbali tuombe uzima tuyashuhudie kwani hayana ccm, cdm, polisi Wala mjeda wote tuyaitikia kiitikio kimoja!
 
USA tumeijenga sisi wafrica
 
USA tumeijenga sisi wafrica
Kwa sababu mlizihitaji dola zao kununua dawa, mashine na mitambo mbalimbali, madarasa na mahospitali na miundombinu mbalimbali. Ndio maana tunawauzia madini yetu ili ile faida watakayopata wajenge nchi Yao.
Hivi ni nani hujishughulisha na mkataba ya kuuza rasilimali za nchi? Ni cdm siyo?
 
Siku mkiacha kuwaabudu wazungu ndo tutapata maendeleo

Watu ambao wanatumia rasilimali zetu Ila bado kuna mtu anawaona wa maaana sana.
Mzungu ndio kashikilia uchumi wa dunia,siku mkiacha kukopa kwake ndio mtakua mmejinasua na mtego wake vinginevyo mzuengu lazima aabudiwe hasa na hawa viongozi wako mafisadi.
 
Back
Top Bottom