G
guest-1790917349
Guest
Hivi hii ni kwa viongozi tu na raia wa kawaida?Sababu ni nyingi lakin mojawapo ni matukio ya kigaid, rushwa na utawala mbaya.
View attachment 3516705View attachment 3516706
Hivi hii ni kwa viongozi tu na raia wa kawaida?Sababu ni nyingi lakin mojawapo ni matukio ya kigaid, rushwa na utawala mbaya.
View attachment 3516705View attachment 3516706
Kati ya wananchi na viongozi nani anawaabudu hao wazungu, nchi imejaa rasilimali Ila tunaongozwa na vichwa majiSiku mkiacha kuwaabudu wazungu ndo tutapata maendeleo
Watu ambao wanatumia rasilimali zetu Ila bado kuna mtu anawaona wa maaana sana.
ndiyo maana unaitwa nyani ARV zao unabugia kama karanga kisha unawabeza kanywe mkojo wa nguruwe mbona unafubaza virusi vya vvuSiku mkiacha kuwaabudu wazungu ndo tutapata maendeleo
Watu ambao wanatumia rasilimali zetu Ila bado kuna mtu anawaona wa maaana sana.
Mataifa ya ulaya yalipofika Africa wazee wetu waliwaona wema wakawakaronisha kwa mikono miwili, wakawaruhusu kututumia na kutumika raslimali zetu kama Mali zao, hata tulipotaka kuwaomba waondoke walikataa, na ndipo tukaanza kudai na kipigania uhuru wetu ambao mwamnzoni tuliwapa , hata baada ya kitupa uhuru, tukabaki kuwaita baba zetu wakaamua nia zetu, mawazo yetu, mipango yetu, raslimali zetu, utamaduni wetu, Mila zetu nk. Hadi sasa hatuna Cha kukoroma, tupiga mkwara mbuzi wao wanajibu kwa mkwara Simba/dubu.Sahihi ni wakati umefika sisi USA tumeijenga wenyewe na kwa mateso makubwa Sana
Wewe ni JUNYASiku mkiacha kuwaabudu wazungu ndo tutapata maendeleo
Watu ambao wanatumia rasilimali zetu Ila bado kuna mtu anawaona wa maaana sana.
Unachekesha ,kwa sasa tunawaabudu waarabu maendeleo yanapaa kwa Kasi ya mweweSiku mkiacha kuwaabudu wazungu ndo tutapata maendeleo
Watu ambao wanatumia rasilimali zetu Ila bado kuna mtu anawaona wa maaana sana.
Tangazo jipya lilitolewa jana ila ni mkwara tu kwa sehemu kubwa. Wanasema wameweka ugumu wa Watanzania kupewa vibali kuingia USA ila hawasemi watatuzuia kabisa. Halafu ukisoma Ile original proclamation kuna exemptions za kutosha.Mkuu kwenye tangazo hilo mbona nineona Tz imewekwa kwenye lile kundi la "baadhi ya wahusika", imekaaje hii, au hili tangazo ni la zamani!?
Nimekomenti Kwa msigwa kafuta ujumbe wanguSababu ni nyingi lakin mojawapo ni matukio ya kigaid, rushwa na utawala mbaya.
View attachment 3516705View attachment 3516706
Nchi tegemezi budget Yako ni deficit....Siku mkiacha kuwaabudu wazungu ndo tutapata maendeleo
Watu ambao wanatumia rasilimali zetu Ila bado kuna mtu anawaona wa maaana sana.
Wewe kilaza, Kwanini unaruka neno wazamiaji, na magumashi?Sababu ni nyingi lakin mojawapo ni matukio ya kigaid, rushwa na utawala mbaya.
View attachment 3516705View attachment 3516706
Nchi tegemezi budget Yako ni deficit....
Hutengenezi hata medical devices/ medicine 💉💊 unawavimbia WAZUNGU?!
NB. Mzilankende Magufuri alituambia tutembee VIFUA MBELE sisi ni DONOR COUNTRY 🔥
Elimu yangu ndogo najua wazungu waliingia mikataba na mababu zetu juu ya rasilimali na hadi sasa wanaingia mikataba na sisi ambayo haiko fair, sasa sijui shida ni wazungu au ni sisi?Siku mkiacha kuwaabudu wazungu ndo tutapata maendeleo
Watu ambao wanatumia rasilimali zetu Ila bado kuna mtu anawaona wa maaana sana.
Siku mkiacha kuwaabudu wazungu ndo tutapata maendeleo
Watu ambao wanatumia rasilimali zetu Ila bado kuna mtu anawaona wa maaana sana.
Baada ya kuteka watu na kuuwa watu ndio mmejua kuabudu ni kubaya?😂😂Siku mkiacha kuwaabudu wazungu ndo tutapata maendeleo
Watu ambao wanatumia rasilimali zetu Ila bado kuna mtu anawaona wa maaana sana.