THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
Machawa walidai Samuya kafunguwa NCHI!
Leo wa Ulaya, Scandinavia, Canada na USA wanatukataa na kusitisha ushirikiano na misaada!
Samuya KAFUNGA NCHI!
Machawa wabobezi kina Lucas mwashamba MACHOZI YA FURAHA YANAWATOKA, MACHOZI YANABUBUJIKA KINOMA!
Hiyo lockdown waathirika wakubwa ni jamaa zako wa TEC NA CHADEMA
Wao wakikinukisha tutazaa nao ha0a hapa na familia zao.
Hakuna kutoroka