Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Serikali imeona tangazo la Serikali ya Marekani la kutaka kufanyiwa kazi kwa mambo kadhaa ya kiuhamiaji ambayo yanaweza kusababisha raia wa Tanzania kuzuiwa kuingia Marekani.
Naomba kuujulisha umma kuwa tayari Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje imeanza kufanya mashauria- no wa wenzetu upande wa Marekani kujua maeneo ambayo yanatakiwa kufanyiwa maboresho hususani yanayohusiana na masuala ya kikonseli ili kuharakisha Tanzania isiwe moja ya nchi ambazo raia wake watazuiliwa kuingia Marekani.
Tutaendelea kutoa taarifa kadiri majadiliano yanavyoendelea.
Soma, Pia> Tanzania hatarini kuwekewa marufuku ya kusafiri kwenda Marekani