Tanzania yatoa tamko kufuatia onyo la Marekani kuhusu Watanzania kuzuiwa kuingia Marekani

Serikali imeona tangazo la Serikali ya Marekani la kutaka kufanyiwa kazi kwa mambo kadhaa ya kiuhamiaji ambayo yanaweza kusababisha raia wa Tanzania kuzuiwa kuingia Marekani.

Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje imeanza kufanya mashauria- no wa wenzetu upande wa Marekani kujua maeneo ambayo yanatakiwa kufanyiwa maboresho hususani yanayohusiana na masuala ya kikonseli ili kuharakisha Tanzania isiwe moja ya nchi ambazo raia wake watazuiliwa kuingia Marekani.
​

Msigwa bwana, anajitekenya na kucheka. Aliesema visa zinazuiwa kwa sababu ya mambo ya kikonseli nani? Eti hususa mambo ya kikonseli.

Saa hizi wananchi vijana wanaweza kuanza kusema tusiichague CCM kwa kuwa utawala wake unatunyima fursa za kwenda kwa mjomba Trump, USA baba!

Jilisheni matango pori tu na kujifurahisa, ngoja muone mtakavyoharisha huko mbele!
 
Serikali imeona tangazo la Serikali ya Marekani la kutaka kufanyiwa kazi kwa mambo kadhaa ya kiuhamiaji ambayo yanaweza kusababisha raia wa Tanzania kuzuiwa kuingia Marekani.

Naomba kuujulisha umma kuwa tayari Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje imeanza kufanya mashauria- no wa wenzetu upande wa Marekani kujua maeneo ambayo yanatakiwa kufanyiwa maboresho hususani yanayohusiana na masuala ya kikonseli ili kuharakisha Tanzania isiwe moja ya nchi ambazo raia wake watazuiliwa kuingia Marekani.

Tutaendelea kutoa taarifa kadiri majadiliano yanavyoendelea.

Soma, Pia> Tanzania hatarini kuwekewa marufuku ya kusafiri kwenda Marekani

Bado sijaamini hii taarifa Kama imetoka kwa Taifa linalokua kiuchumi kwa haraka kuliko Marekani

Marekani ndo inatakiwa watuombe radhi kututisha fast growing economic nation 😃😃

Naomba kina Lucas & co tusikubali Mama kutishiwa na Taifa liloruhusu ushoga
 
Serikali imeona tangazo la Serikali ya Marekani la kutaka kufanyiwa kazi kwa mambo kadhaa ya kiuhamiaji ambayo yanaweza kusababisha raia wa Tanzania kuzuiwa kuingia Marekani.

Naomba kuujulisha umma kuwa tayari Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje imeanza kufanya mashauria- no wa wenzetu upande wa Marekani kujua maeneo ambayo yanatakiwa kufanyiwa maboresho hususani yanayohusiana na masuala ya kikonseli ili kuharakisha Tanzania isiwe moja ya nchi ambazo raia wake watazuiliwa kuingia Marekani.

Tutaendelea kutoa taarifa kadiri majadiliano yanavyoendelea.

Soma, Pia> Tanzania hatarini kuwekewa marufuku ya kusafiri kwenda Marekani

Pia serikali muwasiliane na CHADEMA kuona ni vipengele vipi vinapaswa kufanyiwa kazi kwenye katiba yetu ili kuharakisha maendeleo ya nchi yetu na kuzuia kuingia kwenye machafuko.
 
Tumewazidi ki uchumi; wasitutishe
473031826_611436528237406_4810738199966220595_n.jpg
 
Anahangaika kwenda marekani ili iweje kwanza hatujui kiingereza
 
Bepari amejamba wakiwa meza kuu washirika wakawa wanagombania kusema nimejamba mimi Mkuu Bepari😀😀
 
hahah huo ni mwiba (wa)mstaafu azuiwe kuingia USA ? hilo ni pigo watapambana ahera na duniani kuomba wasizuiwe kuingia US of A …
 
"na WENZETU upande wa marekani",..ni WENZENU WALE? .....MIKND YENU🚮🚮
 
Kweli wanaenda kufanya nini Taifa lenyewe limeruhusu ushoga yule Choicevariable

Nisaidie namna ya kutag jamani
Kuna watu nataka niwaite
Weka hii alama @ kisha anza kuandika jina la unayetaka kumtagi kisha post,hapo inakuwa tayari
 
Na sisi tuwazuie wasije lakini pia tudeport waliopo warudi kwao kila mtu abakie kwakwe!!
 
Serikali imeona tangazo la Serikali ya Marekani la kutaka kufanyiwa kazi kwa mambo kadhaa ya kiuhamiaji ambayo yanaweza kusababisha raia wa Tanzania kuzuiwa kuingia Marekani.

Naomba kuujulisha umma kuwa tayari Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje imeanza kufanya mashauria- no wa wenzetu upande wa Marekani kujua maeneo ambayo yanatakiwa kufanyiwa maboresho hususani yanayohusiana na masuala ya kikonseli ili kuharakisha Tanzania isiwe moja ya nchi ambazo raia wake watazuiliwa kuingia Marekani.

Tutaendelea kutoa taarifa kadiri majadiliano yanavyoendelea.

Soma, Pia> Tanzania hatarini kuwekewa marufuku ya kusafiri kwenda Marekani

Mbona Samia alijifanya kuleta ubishi usio na kichwa wala miguu
 
Back
Top Bottom