johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Marekani = Israel 🇮🇱Marekani lazima iheshimiwe bhana, hivi ndivyo tunavyotaka
Marekani = Israel 🇮🇱Marekani lazima iheshimiwe bhana, hivi ndivyo tunavyotaka
Kwa hiyo watamtoa Lissu na kuacha kuua wananchi?Serikali imeona tangazo la Serikali ya Marekani la kutaka kufanyiwa kazi kwa mambo kadhaa ya kiuhamiaji ambayo yanaweza kusababisha raia wa Tanzania kuzuiwa kuingia Marekani.
Naomba kuujulisha umma kuwa tayari Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje imeanza kufanya mashauria- no wa wenzetu upande wa Marekani kujua maeneo ambayo yanatakiwa kufanyiwa maboresho hususani yanayohusiana na masuala ya kikonseli ili kuharakisha Tanzania isiwe moja ya nchi ambazo raia wake watazuiliwa kuingia Marekani.
Tutaendelea kutoa taarifa kadiri majadiliano yanavyoendelea.
Soma, Pia> Tanzania hatarini kuwekewa marufuku ya kusafiri kwenda Marekani
Mama iddy Amin Dada kasema anawazidi kiuchumi sasa kuna haja gani ya kwenda huko? Kila mmoja akae kwake muungano ufe Tanganyika idai Uhuru wakeSerikali imeona tangazo la Serikali ya Marekani la kutaka kufanyiwa kazi kwa mambo kadhaa ya kiuhamiaji ambayo yanaweza kusababisha raia wa Tanzania kuzuiwa kuingia Marekani.
Naomba kuujulisha umma kuwa tayari Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje imeanza kufanya mashauria- no wa wenzetu upande wa Marekani kujua maeneo ambayo yanatakiwa kufanyiwa maboresho hususani yanayohusiana na masuala ya kikonseli ili kuharakisha Tanzania isiwe moja ya nchi ambazo raia wake watazuiliwa kuingia Marekani.
Tutaendelea kutoa taarifa kadiri majadiliano yanavyoendelea.
Soma, Pia> Tanzania hatarini kuwekewa marufuku ya kusafiri kwenda Marekani
Nasikia juzi tulitoa tamko Israel isitishe vita haraka 🤣Kwann tunawanyenyekea maskini 😂
Mama alitangaza vikwazo vya kiuchumi kwa Israel ikiwa ataendelea na vita 🔥Nasikia juzi tulitoa tamko Israel isitishe vita haraka 🤣
WAtakuwa wanakwenda kule kwa wajomba waliomchinja Kashoggi.Samia ananuka damu za watu wasio na hatia, yeye na mwanaye Abduli wazuiwe kwenda nchi zote za jumuiya ya Ulaya na Marekani
Tangazo halina uhusiano na kukua kwa uchumi. Muwe mnasoma na kuelewa.Mbona tumeambiwa uchumi wetu unakua kwa kasi kuliko wao?
Kila mtu akae kwake wakose pesa za viza nauli za Ndege ndipo Akili zitawakaa sawaKomaeni kwani marekani mnafuata Nini mlichosahau?
Kabisa niliona manuari za kivita za Tanzania bahari ya sham zikiwa tayari kufanya shambulio la anga kaskazini mwa jerusalemMama alitangaza vikwazo vya kiuchumi kwa Israel ikiwa ataendelea na vita 🔥
Tena hizo zilizotangulia n zile za 1900s mana mama hawezi kupeleka vyombo vya 2020s kwenye vita ndogo kama hiyo 🔥Kabisa niliona manuari za kivita za Tanzania bahari ya sham zikiwa tayari kufanya shambulio la anga kaskazini mwa jerusalem
Lingekuwa halina uhusiano ungesikia amezuia na Nchi za Nordic,au Australia,Canada, Germany na nchi kama hizo lakini zote alizozuia ni nchi fukara.Maana yake kama na sisi tuna uchumi mkubwa basi tuwazuie USATangazo halina uhusiano na kukua kwa uchumi. Muwe mnasoma na kuelewa.
Ushaleta mihemkoLingekuwa halina uhusiano ungesikia amezuia na Nchi za Nordic,au Australia,Canada, Germany na nchi kama hizo lakini zote alizozuia ni nchi fukara.Maana yake kama na sisi tuna uchumi mkubwa basi tuwazuie USA
Uandishi wenyewe sasaSerikali imeona tangazo la Serikali ya Marekani la kutaka kufanyiwa kazi kwa mambo kadhaa ya kiuhamiaji ambayo yanaweza kusababisha raia wa Tanzania kuzuiwa kuingia Marekani.
Naomba kuujulisha umma kuwa tayari Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje imeanza kufanya mashauria- no wa wenzetu upande wa Marekani kujua maeneo ambayo yanatakiwa kufanyiwa maboresho hususani yanayohusiana na masuala ya kikonseli ili kuharakisha Tanzania isiwe moja ya nchi ambazo raia wake watazuiliwa kuingia Marekani.
Tutaendelea kutoa taarifa kadiri majadiliano yanavyoendelea.
Soma, Pia> Tanzania hatarini kuwekewa marufuku ya kusafiri kwenda Marekani
Kwanza tumewazidi maendeleoKwani ni LAZIMA kwenda kwa MABEPARI?
Yani tunabonda nchi mbili kwa mkupuo , iran tumetuma vikosi vya kuisaidia nako Ukraine wataalamu ya kundesha drone za kisasa kabisa wameshafika kutokea kambi ya kijeshi ya mpwayungu dodoma, juzi kati submarine zetu zilitupa topiddo kusambaratisha manuari za kivita za Israel 🤔Tena hizo zilizotangulia n zile za 1900s mana mama hawezi kupeleka vyombo vya 2020s kwenye vita ndogo kama hiyo 🔥
Kibao akauwawa kabisa...kifo ni kifoLisu alikoswa koswa kiuawa na jpm kumbuka hilo