Tanzania kuzuiwa kuingia Marekani ni kutokana na mauaji, rushwa na udhaifu wa mifumo ya utambuzi

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Tanzania kuzuiwa kuingia marekani ni kutokana na mauwaji, rushwa, udhaifu wa mifumo ya utambuzi, utekaji hii inahatirisha usalama wa marekani.

Tanzania sio nchi salama kwa sasa inawapumbavu wengi sana ndio wanaharibu nchi yetu.
 
Acheni utumwa wa kifikra

Hiyo USA tumeijenga sisi waafrica , hao watu weusi mnaowaona huko USA unadhani walifikaje huko .!!?

USA is overrated country hiyo misaada ya condom na vyandaraua ndo mnaililia!!!?

Marekani this marekani that! WHO are YOU.
 
Mauwaji na utekaji vimetajwa?
Kwamba tunaogopwa hatuna roho ya utu tukienda kwao tunaweza kuua watu wao?
 
Acheni utumwa wa kifikra

Hiyo USA tumeijenga sisi waafrica , hao watu weusi mnaowaona huko USA unadhani walifikaje huko .!!?

USA is overrated country hiyo misaada ya condom na vyandaraua ndo mnaililia!!!?

Marekani this marekani that! WHO are YOU.
Kama ndio mmeijenga US, ni kipi konawafanya msiijenge Tanzania sasa?
 
Back
Top Bottom