Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Uncle wangu Jakaya hajapigwa pini kutembea au kwenda nchi yoyote duniani.Kupitia mtandao wa X, mwanaharakati mmoja ameandika ujumbe akimanisha kiongozi mmoja mkubwa ambae kwa sasa ni mstaafu, amezuiwa kuingia katika nchi moja ya mabeberu.
Binafsi naona nchi hiyo itakuwa ni US kwani kwa nchi za Ulaya, ukipigwa ban, mara nyingi ban hiyo ni kwa nchi wanachama wote wa EU.
Mwanaharakati huyo kaweka na picha ya kiongozi huyo mstaafu.
Kama ni kweli, hii ni hatua nzuri na huenda mboga mboga wakaondoka madarakani kama walivyoondoka makaburu wa Afrika ya Kusini Kupitia shinikizo la kimataifa.
Muda utaongea.
Wapi nimewahi kusema sinto kufararaa reree mkuu, Kuna maisha tena baada ya maisha ya hii Dunia inayowadanganya eti nyie mtakuwepo tu hamtakufa
Mnatoa milio!Uncle wangu Jakaya hajapigwa pini kutembea au kwenda nchi yoyote duniani.
Nina uhakikaMnatoa milio!
Ana nyumba New York kipindi fulani aliirusha kwa habari
Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa Kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso amekuwa na wakati mwema wa kukata keki pamoja na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete nyumbani kwake hapa New York Marekani.
NB. Watanzania chapeni kazi muondokane na kelele za maisha magumu, hakuna njia ya mkato ya kukuleteeni chakula mezani. Serikali haina shamba
- Rashidi Jololo
- birthday marekani new new york nyumbani waziri
- Replies: 292
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Jakaya hajawahi kulaumu au kulaani wala kutoa rambi rambi mauaji ya Okt29, maana yake kuna complicity(ana husika kiasi fulani).Kupitia mtandao wa X, mwanaharakati mmoja ameandika ujumbe akimanisha kiongozi mmoja mkubwa ambae kwa sasa ni mstaafu, amezuiwa kuingia katika nchi moja ya mabeberu.
Binafsi naona nchi hiyo itakuwa ni US kwani kwa nchi za Ulaya, ukipigwa ban, mara nyingi ban hiyo ni kwa nchi wanachama wote wa EU.
Mwanaharakati huyo kaweka na picha ya kiongozi huyo mstaafu.
Kama ni kweli, hii ni hatua nzuri na huenda mboga mboga wakaondoka madarakani kama walivyoondoka makaburu wa Afrika ya Kusini Kupitia shinikizo la kimataifa.
Muda utaongea.
Kumbe huyu Aweso kachaguliwa uwaziri wa maji mara 2 kumbe nyuma yake yupo jk? Dah inawezekana wateuliwa wote ni watu wakeAna nyumba New York kipindi fulani aliirusha kwa habari
Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa Kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso amekuwa na wakati mwema wa kukata keki pamoja na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete nyumbani kwake hapa New York Marekani.
NB. Watanzania chapeni kazi muondokane na kelele za maisha magumu, hakuna njia ya mkato ya kukuleteeni chakula mezani. Serikali haina shamba
- Rashidi Jololo
- birthday marekani new new york nyumbani waziri
- Replies: 292
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Sijapata taarifa lakin ni Ngumu sana! Wao uwa wanatoa press! Je ni wapi imeandikwa ?Msipotezwe kwenye agenda zenu kuu.
Hiyo mnahamishwa kwenye mjadala wa Emma, kesi ya Lissu na mengineyo muhimu.
Hamjamuelewa britanicca hapa https://www.jamiiforums.com/threads...ite-professionalism-until-circa-2022.2469697/
Kumbe huyu Aweso kachaguliwa uwaziri wa maji mara 2 kumbe nyuma yake yupo jk? Dah inawezekana wateuliwa wote ni watu wake
Ile saratani ya tezi dume ikirudia itabidi aende Singapore kama hayati Mugabe (hakupona(
Maskini.