Ana nyumba New York kipindi fulani aliirusha kwa habari
Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa Kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso amekuwa na wakati mwema wa kukata keki pamoja na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete nyumbani kwake hapa New York Marekani.
NB. Watanzania chapeni kazi muondokane na kelele za maisha magumu, hakuna njia ya mkato ya kukuleteeni chakula mezani. Serikali haina shamba
- Rashidi Jololo
- birthday marekani new new york nyumbani waziri
- Replies: 292
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Nyerere alikwenda UK. Sitta alikwenda Ujerumani. Wote hawakupona. Ila na sisi sote tutakufa.Ile saratani ya tezi dume ikirudia itabidi aende Singapore kama hayati Mugabe (hakupona(
Maskini.
Ndio watoto wake wanaishi kule
Inakuwaje watanzania hawana dual citizenship ila anamiliki nyumba huko...au US ukiwa na mapene unapewa uraia?Ana nyumba New York kipindi fulani aliirusha kwa habari
Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa Kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso amekuwa na wakati mwema wa kukata keki pamoja na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete nyumbani kwake hapa New York Marekani.
NB. Watanzania chapeni kazi muondokane na kelele za maisha magumu, hakuna njia ya mkato ya kukuleteeni chakula mezani. Serikali haina shamba
- Rashidi Jololo
- birthday marekani new new york nyumbani waziri
- Replies: 292
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Inakuwaje watanzania hawana dual citizenship ila anamiliki nyumba huko...au US ukiwa na mapene unapewa uraia?
ok.Kupitia mtandao wa X, mwanaharakati mmoja ameandika ujumbe akimanisha kiongozi mmoja mkubwa ambae kwa sasa ni mstaafu, amezuiwa kuingia katika nchi moja ya mabeberu.
Binafsi naona nchi hiyo itakuwa ni US kwani kwa nchi za Ulaya, ukipigwa ban, mara nyingi ban hiyo ni kwa nchi wanachama wote wa EU.
Mwanaharakati huyo kaweka na picha ya kiongozi huyo mstaafu.
View attachment 3664358
Kama ni kweli, hii ni hatua nzuri na huenda mboga mboga wakaondoka madarakani kama walivyoondoka makaburu wa Afrika ya Kusini Kupitia shinikizo la kimataifa
Muda utaongea.
Uncle wangu Jakaya hajapigwa pini kutembea au kwenda nchi yoyote duniani.Kupitia mtandao wa X, mwanaharakati mmoja ameandika ujumbe akimanisha kiongozi mmoja mkubwa ambae kwa sasa ni mstaafu, amezuiwa kuingia katika nchi moja ya mabeberu.
Binafsi naona nchi hiyo itakuwa ni US kwani kwa nchi za Ulaya, ukipigwa ban, mara nyingi ban hiyo ni kwa nchi wanachama wote wa EU.
Mwanaharakati huyo kaweka na picha ya kiongozi huyo mstaafu.
View attachment 3664358
Kama ni kweli, hii ni hatua nzuri na huenda mboga mboga wakaondoka madarakani kama walivyoondoka makaburu wa Afrika ya Kusini Kupitia shinikizo la kimataifa
Muda utaongea.
bashite mbona alienda world cup US ?
..sio kiasi fulani, ni muhusika kamili..rais mstaafu inakuwaje ana watu wake ndani ya usalama wa taifa na jeshi na hao wanatii maelekezo yake kuliko hata na huyo sitting president halafu asihusike na uhalifu huo wa 29.10?Jakaya hajawahi kulaumu au kulaani wala kutoa rambi rambi mauaji ya Okt29, maana yake kuna complicity(ana husika kiasi fulani).
Ina maana watoto was JK wanaishi USA, aliyepo huku ni Riz1 tuu?
Hahahahah umekuwa mpole sana siku hizi gentleman
Ana nyumba New York kipindi fulani aliirusha kwa habari
Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa Kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso amekuwa na wakati mwema wa kukata keki pamoja na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete nyumbani kwake hapa New York Marekani.
NB. Watanzania chapeni kazi muondokane na kelele za maisha magumu, hakuna njia ya mkato ya kukuleteeni chakula mezani. Serikali haina shamba
- Rashidi Jololo
- birthday marekani new new york nyumbani waziri
- Replies: 292
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
I always honestly speaking man but bold enough in politics 🐒Hahahahah umekuwa mpole sana siku hizi gentleman
Kama ni kweli basi ni jambo Jema sana.
Zile damu za October 29 haziwezi kwenda Bure.
Zitachochea mabadiriko makubwa nchini na kupelekea ukombozi wa Taifa.