Tetesi: Ni kweli Mzee Kikwete kazuiwa kuingia kwenye nchi za Kimagharibi hasa Marekani?

Ubaya wa boldness yako ni uchawa zaidi
you can perceive me as you wish gentleman,

but siwezi kuacha kueleza ukweli mtupu kisiasa kwenye mambo ya msingi tu, bila kuchoka, kukata tamaa au kubabaika na dhana potofu dhidi ya maoni au mtazamo wangu kwenye siasa za Tanzania, kitaifa na kimataifa 🐒
 
Itabakia kuitwa tetesi tu.

Hata hivyo, huyu hata angepigwa ban ya popote hata mwezini, hana cha kupoteza.

Alivyomiliki/anavyomiliki wala hawazi jambo jipya baya isipokuwa uzee na kifo.
 
Kinachofuata baadae ni Yeye na wenzake wote waliohusika mali zao zitataifishwa kufidia wahanga wa mauaji na utekaji.

Mwisho wa ubaya ni aibu na fedheha.
 
Tiss wana mbinu nyingi sana za kupoza mambo na kuhamisha mijadala
 
Ana nyumba New York kwenye mjini wa Matajiri?
Kwa nini kwenye top 5 ya matajiri Tanzania huyu hayumo,?
 
mama yangu ndio wewe, nenda ukafir.we kabisa, kum.a la mama ya.ko. Mkund.u wa baba yako mzazi.
Mbona nimeuliza tu kamanda?!!! Aulizae anataka kujua sheikh, nilifikiri labda mama'ako alimsasambulia vizuri tu halafu jk akazingua ndo maana umekuwa mkali kwake.
 
Ila wanaharakati kama Sarungi sometimes jau kinoma.

Kuna nyumbu zimeamini hiyo habari na kushangilia.
Huyo maza sio trusted source kabisa, ana chuki, ana visasi na anaokoteza na kutunga sana habari zake.

Yaani apigwe ban halafu ubalozi wa US hapa Tz wale buyu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…