I gotta ufrankly speaking huyu jamaa anajua na kaja kuchukua kijiti cha hawa wafuatao 1.true boy nay 2.joh makini.na kaja kuwafuta kabisa vijana chipukizi km Bilnas.
u r welcome.I gotta u
Mkuu darassa kakukosea nini??[emoji33]Labda kijiti cha kutungia mishkaki pale mlandizi,huyo darasa sijui shule ndo anaimbaga ujinga gani???
Ruge liked your post[emoji125]Hata Shilole sasa hivi kampiku Jide. Mambo yanabadilika kwa kasi sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aina ya mziki anaofanya darasa haiwezi kutishia mzik wa Diamond, hivi unaweza kudhani kwamba Rhamos kung'aa na kutupia goli kwenye el clasico kunaweza kuhatarisha nafasi ya Ronado!?
ni janjazi hehehe na tunashukuru tumelipokea jina in a positive way ni ni wanjanja kiukwelii...Unajua kinachombeba diamond ni menejiment yake iko vizuri kuliko king kiba na ndio maana diamond anang'ara ad leo unadhan kiba angekuwa anamenejiment kama hile angekuwa mbali sana
umekariri hakuna biti ya nigeria wala nini mziki ni biashara wasanii sasa hvi wanaangalia kipi kinafaa kufurahisha washabiki nasio kuimba ilimradi eti usibadilike kisa unaogopa aina ya mziki unaofanyaHapo ni kwamba je biti za nigeria zitaweza kufunikwa na bongo flavour?
asante mr gentlemanDiamond anajaza ukumbi Zimbabwe... Darasa hawezi ijaza ata Maisha club. Wakumpiku Diamond bado ajaanza muziki, najua wengine mmemchoka ila mvumilieni tu maana mbadala wake bado sana.
hata hao wanaompa wanatafuta ugali kwan walikuaga hawamuoni? mmewasahau wakina dozen nyie,wao wanaangalia nan ana hit wanampandisha ...hakuna kitu kama hicho..
ila kwa sasa upande wa hiphop hakuna kama darassa hiyo ni wazi....
hata joh kwa sasa hapewi antention kama anayopewa mshkaji.
Hii nimeipenda sanaAina ya mziki anaofanya darasa haiwezi kutishia mzik wa Diamond, hivi unaweza kudhani kwamba Rhamos kung'aa na kutupia goli kwenye el clasico kunaweza kuhatarisha nafasi ya Ronado!?
Km issue ni manejimenti kwann wasanii wa tip top hawafiki level za diamond wkt tale ndio meneja wao??? Same to AY ambaye manager wake ni Sallam.... same to yamoto ambao meneja wao ni mkubwa fella..... km issue ni meneja nadhani hao niliowataja wangekuwa kwenye level ya diamond ....wangekuwa na mitunzo km mond.Unajua kinachombeba diamond ni menejiment yake iko vizuri kuliko king kiba na ndio maana diamond anang'ara ad leo unadhan kiba angekuwa anamenejiment kama hile angekuwa mbali sana
ha ha ha jamani nimecheka balaaaRuge liked your post[emoji125]