Ni kweli nafasi ya Diamond imechukuliwa na Darassa?

Ni kweli nafasi ya Diamond imechukuliwa na Darassa?

Darasa na Diamond wote wako vzr,lkn pia utambue wale wanafanya miziki tofauti.
 
Kuna Goma Kali nimelisikia Jana kashilikishwa Diamond akiwa ana Rap na jamaa sikumfahamu ebana sikudhani Dangote ndo anajua Ku Rap vile
 
Hivi ujumbe wa ule wimbo nini? Mimi sijaelewa anaunganisha unganish maneno ambayo haya leti maana yeyote kwangu mm, but biti iko poa sana
 
Darasa huyu ambae hajawai ata kufanya shoo nje ya Dar, Diamond alikua Zimbabwe kafunga Mwaka huko
 
[emoji23][emoji23]siyo vizuri jamani,munamkosea sana Alikiba..
Alikiba hataki msanii yeyote yule ashindanishwe na Diamond isipokuwa yeye tu..hata kiki ya ommydimpozi aliyoipata kwa Diamond mzee mzima Alikiba hakufurahia[emoji38],akajibebesha likiki la Pete ya kijani wakati hakuambiwa yeye hata haikua inamuhusu[emoji38]nayo ikabuma..

Huku munakofanya ni kumshusha Alikiba,mwenzenu anataka ashindanishwe yeye tu na Diamond na sio msanii mwingine..sasa kama mumeanza kumshindanisha na Darassa basi lengo lenu sio zuri,munataka Alikiba asisikike bali asikike Darassa tu[emoji38].
 
Aina ya mziki anaofanya darasa haiwezi kutishia mzik wa Diamond, hivi unaweza kudhani kwamba Rhamos kung'aa na kutupia goli kwenye el clasico kunaweza kuhatarisha nafasi ya Ronado!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unajua kinachombeba diamond ni menejiment yake iko vizuri kuliko king kiba na ndio maana diamond anang'ara ad leo unadhan kiba angekuwa anamenejiment kama hile angekuwa mbali sana
ni janjazi hehehe na tunashukuru tumelipokea jina in a positive way ni ni wanjanja kiukwelii...
alikiba ni closed mind so hata wakina seven watakua wanapata sana tabu kumbadilisha
 
Hapo ni kwamba je biti za nigeria zitaweza kufunikwa na bongo flavour?
umekariri hakuna biti ya nigeria wala nini mziki ni biashara wasanii sasa hvi wanaangalia kipi kinafaa kufurahisha washabiki nasio kuimba ilimradi eti usibadilike kisa unaogopa aina ya mziki unaofanya
unataka watu waendelee kuimba sinderela wangekua hapa??badilika kijana
 
  • Thanks
Reactions: 789
hakuna kitu kama hicho..

ila kwa sasa upande wa hiphop hakuna kama darassa hiyo ni wazi....
hata joh kwa sasa hapewi antention kama anayopewa mshkaji.
hata hao wanaompa wanatafuta ugali kwan walikuaga hawamuoni? mmewasahau wakina dozen nyie,wao wanaangalia nan ana hit wanampandisha ...
 
Aina ya mziki anaofanya darasa haiwezi kutishia mzik wa Diamond, hivi unaweza kudhani kwamba Rhamos kung'aa na kutupia goli kwenye el clasico kunaweza kuhatarisha nafasi ya Ronado!?
Hii nimeipenda sana
 
Unajua kinachombeba diamond ni menejiment yake iko vizuri kuliko king kiba na ndio maana diamond anang'ara ad leo unadhan kiba angekuwa anamenejiment kama hile angekuwa mbali sana
Km issue ni manejimenti kwann wasanii wa tip top hawafiki level za diamond wkt tale ndio meneja wao??? Same to AY ambaye manager wake ni Sallam.... same to yamoto ambao meneja wao ni mkubwa fella..... km issue ni meneja nadhani hao niliowataja wangekuwa kwenye level ya diamond ....wangekuwa na mitunzo km mond.
 
Back
Top Bottom