Ni kweli Nelson Mandela alifia gerezani 1985?



Na aliyekuja Tanzania kupewa passport na Nyerere alikuwa ni Mandela au Makanda?
Aliikumbukaje mitaa alijokuwa anaishi Dar kwa yule mama yalipo mabaki ya nguo zake?
Aliwezaje kukumbuka story zake na rafiki yake Mwl. Nyerere
 
Kwani ni lazima wote hawa wawe gereza moja na kuwa pamoja wakati wote?
 
Aliwezaje kukariri historia isiyomuhusu

Huenda ni kweli nilishtushwa na hatua yake ya kukataa kuja kumzika Mwalimu.
hii swala la laweza kuwa na mahusiano kwanini hakuhudhuria kwe msiba wa mpigania uhuru mwenzake tena wenye mikakati iliyoendana...
hapa kuna vitu vingi tumefichwa technology inatuumiza na kutubana uhuru wa fikra.
 
Naulizaje issue ambaye hata mtoto wa chekechea anaweza akareason na kuelewa

Basi mtoto wa chekechea anaejua kusoma atakuwa anajijua kuliko wewe kwa kuwa unachoking'ang'ania kipo kwenye public domain. Ungekuwa na angalau na reasoning ya kuku (let alone ya mtoto wa chekechea) ungetafuta reference kuhusu ukweli wa hilo jambo na wala usingeandika ulichoandika. At best you would have apologized for being stupid.
 
miaka 27 jela lazma misimamo iyumbe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…