Ni kweli Nelson Mandela alifia gerezani 1985?

Ni kweli Nelson Mandela alifia gerezani 1985?

alifanyiwa plastic surgery iliyofanywa na timu ya madaktari wachache toka London Uingereza, mara baada ya zoezi hilo kufanikiwa alipatiwa mazoezi ya kuongea na kutembea kama Nelson Mandela mpaka alipo fuzu ndipo mpango wa kumtoa ukatekelezwa ndomaana hata baada yakutoka alilegeza sana masharti kwa watu weupe.


Na aliyekuja Tanzania kupewa passport na Nyerere alikuwa ni Mandela au Makanda?
Aliikumbukaje mitaa alijokuwa anaishi Dar kwa yule mama yalipo mabaki ya nguo zake?
Aliwezaje kukumbuka story zake na rafiki yake Mwl. Nyerere
 
Inahitajika mtu alieshikiwa akili kuamini upuuzi kama huu. Nelson Mandela alifungwa jela na wenzake wengi tu (wakiwemo Walter Sisulu; Ahmed Kathrada, Raymond Mhlaba, Andrew Mlangeni, Dennis Goldberg, Wilton Mkwayi na wengine wengi). Ina maana wote hao hakuwa na uwezo wa kumtambua huyo Mandela fake?
Kwani ni lazima wote hawa wawe gereza moja na kuwa pamoja wakati wote?
 
Aliwezaje kukariri historia isiyomuhusu

Huenda ni kweli nilishtushwa na hatua yake ya kukataa kuja kumzika Mwalimu.
hii swala la laweza kuwa na mahusiano kwanini hakuhudhuria kwe msiba wa mpigania uhuru mwenzake tena wenye mikakati iliyoendana...
hapa kuna vitu vingi tumefichwa technology inatuumiza na kutubana uhuru wa fikra.
 
Naulizaje issue ambaye hata mtoto wa chekechea anaweza akareason na kuelewa

Basi mtoto wa chekechea anaejua kusoma atakuwa anajijua kuliko wewe kwa kuwa unachoking'ang'ania kipo kwenye public domain. Ungekuwa na angalau na reasoning ya kuku (let alone ya mtoto wa chekechea) ungetafuta reference kuhusu ukweli wa hilo jambo na wala usingeandika ulichoandika. At best you would have apologized for being stupid.
 
Hili jambo ni fikirishi sana kwasababu misimamo na hoja aliyokuwa nayo Mandela wa kabla ya kufungwa na baada ya kutoka gerezani ni tofauti kabisa.
Pia swala la kumtaliki Winnie kwa hoja dhaifu aliyoitoa Mandela nayo ina ukakasi. Si Mandela yule aliyehamasisha umoja wa kitaifa na maridhiano kati ya makabira ya wanakusini katika kupambana na mkaburu kutoa taraka kwa Winnie bila ya kusikiliza ushauri kutoka kwa wazee na marafiki zake wa karibu.
miaka 27 jela lazma misimamo iyumbe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom