Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
- Thread starter
-
- #61
Kuamini kila unacho kiona ndivyo kilivyo ni upumbavu zaidiNa wale wanaodhani wako viwango vya juu kumbe hapana kamwe hawajitambui, hapo hata umri, aina ya chakula walichokula wakiwa wachanga, eneo waliloishi, shule walizosomea, walimu waliowafundisha, maisha wanayoishi sasa, wale wanaowazunguka wanaupeo gani hivi vyote vinahusiana. Kuamini vitu Simple kama kulikuwa na Nelson Mandela fake no UJUHA.
You can say that again, uwezo wa kufikiri na kupambanua umetoweka.Kwa kweli tunafikiri kwa level ya chini sana. Yaani Nelson Mandela alikuwa fake. Hakika hiki ni kizazi cha 1970s-80s
Mbona CCM huamini kila kitu cha mwenyekiti wa CCM Taifa mpaka kuna msemo wa zidumu fikra za mwenyekiti wa CCMKuamini kila unacho kiona ndivyo kilivyo ni upumbavu zaidi
Watu wa story za kwenye kahawa huwa wanaamini kila lizushwalo, commonsense kimekuwa ni kitu adimu sana kwa kizazi hiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna uwezekano uko sahihi hapo.CCM wanasema zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM je? Huko si ni kuamini kila kitu chake? Natumia mfano wa neno kuamini
Hii story inalo la kujifunza pia na kikubwa hapo ni kuwa waafrika hatuaminiani kamwe, na pia yapo maswali kadhaa hasa ni kwa nini Mandela hakuja kumzika nyerere? ikumbukwe nyerere alijitolea sana kuhakikisha anatoka jela kifungoni, story hii inasaidia kuchangamsha Ubongo ingawa haina uhakika wa 100% cha muhimu ni kujifunza kuwa Afrika huwa hakukosekani maneno pindi mtu maarufu akiwa amefariki tuendelee kuzipokea story maisha yaendelee.Habari zenu wadau, katika pitapita zangu nimekutana na mwandishi mmoja anayedai kuwa mtu anayefahamika kwa jina la Nelson Mandela, si huyu tunaye mfahamu sisi, Nelson original alifia jela mwaka 1985. Kwa mujibu wa maelezo yake nikwamba huyu tunaye mfahamu alitafutwa mtu anayeendana naye kidogo na alilazimishwa kutoa talaka kwa Winnie Mandela maana wangekaa pamoja kwa muda mwanamama huyu angejua kuwa hakuwa Mandela Original. Inasemekana mwanamuziki Johnny Clegg alishawahi pia kuimba kitu hiki katika wimbo wake wa "Asimbonanga" yaani hatujamwona yeye. Kwenye wimbo huo kuna maneno Asimbonang' uMandela thina akimaanisha hatujamwona Mandela Laph'ekhona - mahali alipo Laph'ehleli - mahali alipo zikwa. Wimbo huu ulitoka mwaka 1987.
Nani aliyetolewa gerezani 1990?
Inasemekana ni mtu ajulikanaye kwa jina la Gibson Makanda ambaye alipelekwa katika gereza la Pollsmor mwezi May mwaka 1985 na akiwa huko alifanyiwa plastic surgery iliyofanywa na timu ya madaktari wachache toka London Uingereza, mara baada ya zoezi hilo kufanikiwa alipatiwa mazoezi ya kuongea na kutembea kama Nelson Mandela mpaka alipo fuzu ndipo mpango wa kumtoa ukatekelezwa ndomaana hata baada yakutoka alilegeza sana masharti kwa watu weupe.
Nilipitia pia vyanzo mbalimbali mtandaoni nikakutana na zaidi ya waandishi 50 tofauti wakizungumzia juu ya Gibson Makanda kuigiza kama Nelson Mandela.
Je, nikweli Nelson Mandela alifariki mwaka 1985?
Kitu pekee ambacho cha kujiuliza hapo ni kwa nini mandela hakuja kumzika nyerere hayo mengine tuwaachie wenyeweNi kweli Mandela yule aliyefungwa sio Yule aliyetoka jela na kuwa rais, miaka 27 jela sio midogo ni lazima umebadilike completely hasa ikizingatiwa alifungwa toka akiwa kijana. Hivyo lazima awe na tofauti kipindi kuingia na kutoka jel,watu wanabadilika.
Sent using Jamii Forums mobile app
My grandparent some one Merere nilimuuliza Hilo swali nikiwa na umri mdogo.... Yeye aliwahi kubahatika kupanda ndege moja na Mandela na Nyerere. Alinijibu kuwa " Mandela alisema hawezi kuuona mwili wa Nyerere.. akiuona pia atakufa"Hii story inalo la kujifunza pia na kikubwa hapo ni kuwa waafrika hatuaminiani kamwe, na pia yapo maswali kadhaa hasa ni kwa nini Mandela hakuja kumzika nyerere? ikumbukwe nyerere alijitolea sana kuhakikisha anatoka jela kifungoni, story hii inasaidia kuchangamsha Ubongo ingawa haina uhakika wa 100% cha muhimu ni kujifunza kuwa Afrika huwa hakukosekani maneno pindi mtu maarufu akiwa amefariki tuendelee kuzipokea story maisha yaendelee.
True true!Teknolojia inayohusu kumzuia Winnie tu asigundue kuwa kuna Nelson Mandela fake lakini wote aliosoma nao, aliofungwa nao, aliofanyanao kazi, dada zake, watoto wake etc isiwaguse? Dhana hiyo ni zaidi ya wehu.
Mambo ya ndoa ni personal, kikombe anachokinywea mwenzio huwezi fahamu magumu yake. Kwani unafahamu magumu aliyopitia toka kwa Winnie mpaka kuamua kumtaliki!!?Hili jambo ni fikirishi sana kwasababu misimamo na hoja aliyokuwa nayo Mandela wa kabla ya kufungwa na baada ya kutoka gerezani ni tofauti kabisa.
Pia swala la kumtaliki Winnie kwa hoja dhaifu aliyoitoa Mandela nayo ina ukakasi. Si Mandela yule aliyehamasisha umoja wa kitaifa na maridhiano kati ya makabira ya wanakusini katika kupambana na mkaburu kutoa taraka kwa Winnie bila ya kusikiliza ushauri kutoka kwa wazee na marafiki zake wa karibu.
Sijuti,
Aliwezaje kukariri historia isiyomuhusu
Huenda ni kweli nilishtushwa na hatua yake ya kukataa kuja kumzika Mwalimu.
Maoni yako yanaoneshwa unadanganyika kirahisi mnoNa mtadanganywa sana tu. Ndo maana manabii feki wanawachota hela zenu, mnaamini ujinga tu. Kwahiyo ndugu zake, watoto wake, marafiki zake, wapigania uhuru wenzake wote wangeshindwa kutambua kubadilika kwa tabia,sura,hulka na mengine mengi. Kwani huyo mke wake waliachana baada ya muda gani alipotoka gerezani
Sent from my PBCM30 using Tapatalk