Ni kweli Nelson Mandela alifia gerezani 1985?

Ni kweli Nelson Mandela alifia gerezani 1985?

Na wale wanaodhani wako viwango vya juu kumbe hapana kamwe hawajitambui, hapo hata umri, aina ya chakula walichokula wakiwa wachanga, eneo waliloishi, shule walizosomea, walimu waliowafundisha, maisha wanayoishi sasa, wale wanaowazunguka wanaupeo gani hivi vyote vinahusiana. Kuamini vitu Simple kama kulikuwa na Nelson Mandela fake no UJUHA.
Kuamini kila unacho kiona ndivyo kilivyo ni upumbavu zaidi
 
Kuamini kila unacho kiona ndivyo kilivyo ni upumbavu zaidi
Mbona CCM huamini kila kitu cha mwenyekiti wa CCM Taifa mpaka kuna msemo wa zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM
 
Habari zenu wadau, katika pitapita zangu nimekutana na mwandishi mmoja anayedai kuwa mtu anayefahamika kwa jina la Nelson Mandela, si huyu tunaye mfahamu sisi, Nelson original alifia jela mwaka 1985. Kwa mujibu wa maelezo yake nikwamba huyu tunaye mfahamu alitafutwa mtu anayeendana naye kidogo na alilazimishwa kutoa talaka kwa Winnie Mandela maana wangekaa pamoja kwa muda mwanamama huyu angejua kuwa hakuwa Mandela Original. Inasemekana mwanamuziki Johnny Clegg alishawahi pia kuimba kitu hiki katika wimbo wake wa "Asimbonanga" yaani hatujamwona yeye. Kwenye wimbo huo kuna maneno Asimbonang' uMandela thina akimaanisha hatujamwona Mandela Laph'ekhona - mahali alipo Laph'ehleli - mahali alipo zikwa. Wimbo huu ulitoka mwaka 1987.

Nani aliyetolewa gerezani 1990?
Inasemekana ni mtu ajulikanaye kwa jina la Gibson Makanda ambaye alipelekwa katika gereza la Pollsmor mwezi May mwaka 1985 na akiwa huko alifanyiwa plastic surgery iliyofanywa na timu ya madaktari wachache toka London Uingereza, mara baada ya zoezi hilo kufanikiwa alipatiwa mazoezi ya kuongea na kutembea kama Nelson Mandela mpaka alipo fuzu ndipo mpango wa kumtoa ukatekelezwa ndomaana hata baada yakutoka alilegeza sana masharti kwa watu weupe.

Nilipitia pia vyanzo mbalimbali mtandaoni nikakutana na zaidi ya waandishi 50 tofauti wakizungumzia juu ya Gibson Makanda kuigiza kama Nelson Mandela.

Je, nikweli Nelson Mandela alifariki mwaka 1985?
Hii story inalo la kujifunza pia na kikubwa hapo ni kuwa waafrika hatuaminiani kamwe, na pia yapo maswali kadhaa hasa ni kwa nini Mandela hakuja kumzika nyerere? ikumbukwe nyerere alijitolea sana kuhakikisha anatoka jela kifungoni, story hii inasaidia kuchangamsha Ubongo ingawa haina uhakika wa 100% cha muhimu ni kujifunza kuwa Afrika huwa hakukosekani maneno pindi mtu maarufu akiwa amefariki tuendelee kuzipokea story maisha yaendelee.
 
Ni kweli Mandela yule aliyefungwa sio Yule aliyetoka jela na kuwa rais, miaka 27 jela sio midogo ni lazima umebadilike completely hasa ikizingatiwa alifungwa toka akiwa kijana. Hivyo lazima awe na tofauti kipindi kuingia na kutoka jel,watu wanabadilika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu pekee ambacho cha kujiuliza hapo ni kwa nini mandela hakuja kumzika nyerere hayo mengine tuwaachie wenyewe
 
Hii story inalo la kujifunza pia na kikubwa hapo ni kuwa waafrika hatuaminiani kamwe, na pia yapo maswali kadhaa hasa ni kwa nini Mandela hakuja kumzika nyerere? ikumbukwe nyerere alijitolea sana kuhakikisha anatoka jela kifungoni, story hii inasaidia kuchangamsha Ubongo ingawa haina uhakika wa 100% cha muhimu ni kujifunza kuwa Afrika huwa hakukosekani maneno pindi mtu maarufu akiwa amefariki tuendelee kuzipokea story maisha yaendelee.
My grandparent some one Merere nilimuuliza Hilo swali nikiwa na umri mdogo.... Yeye aliwahi kubahatika kupanda ndege moja na Mandela na Nyerere. Alinijibu kuwa " Mandela alisema hawezi kuuona mwili wa Nyerere.. akiuona pia atakufa"
 
Hili jambo ni fikirishi sana kwasababu misimamo na hoja aliyokuwa nayo Mandela wa kabla ya kufungwa na baada ya kutoka gerezani ni tofauti kabisa.
Pia swala la kumtaliki Winnie kwa hoja dhaifu aliyoitoa Mandela nayo ina ukakasi. Si Mandela yule aliyehamasisha umoja wa kitaifa na maridhiano kati ya makabira ya wanakusini katika kupambana na mkaburu kutoa taraka kwa Winnie bila ya kusikiliza ushauri kutoka kwa wazee na marafiki zake wa karibu.
Mambo ya ndoa ni personal, kikombe anachokinywea mwenzio huwezi fahamu magumu yake. Kwani unafahamu magumu aliyopitia toka kwa Winnie mpaka kuamua kumtaliki!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mtadanganywa sana tu. Ndo maana manabii feki wanawachota hela zenu, mnaamini ujinga tu. Kwahiyo ndugu zake, watoto wake, marafiki zake, wapigania uhuru wenzake wote wangeshindwa kutambua kubadilika kwa tabia,sura,hulka na mengine mengi. Kwani huyo mke wake waliachana baada ya muda gani alipotoka gerezani

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
 
Maoni yako yanaoneshwa unadanganyika kirahisi mno
 
Back
Top Bottom