Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
- Thread starter
- #61
Kuamini kila unacho kiona ndivyo kilivyo ni upumbavu zaidiNa wale wanaodhani wako viwango vya juu kumbe hapana kamwe hawajitambui, hapo hata umri, aina ya chakula walichokula wakiwa wachanga, eneo waliloishi, shule walizosomea, walimu waliowafundisha, maisha wanayoishi sasa, wale wanaowazunguka wanaupeo gani hivi vyote vinahusiana. Kuamini vitu Simple kama kulikuwa na Nelson Mandela fake no UJUHA.