from 16 to 31 ni siku 15 ina maana umefanya mapenzi siku ya ovulation likely utapata mimba labda kama jamaa yako hajui kulenga(Anatoa infertile sperms)
By the way kwa nn unafanya mapenzi bila kinga ,maana inaonyesha hauko kwenye ndoa,Baadae utasema mimba isiyotarajiwa ,What's wrong with you Lerato?
umesex tarehe 31,na leo ni tarehe 2.mbona una haraka hivyo.subiri kama 14 days,and then,pima kama nyumbani,ununue kipimio pharmacy au hospitali.
UWEZEKANO WA KUPATA MIMBA NI UNAPOFANYA NGONO WAKATI YAI LIMEANGULIWA(OVULATION), HASA SIKU YA 14 BAADA YA MENSTRUATION,(11th-17th day ili kulinada hesabu) hiki kipindi kinaitwa fertile period ambapo any attempt results into positive result. tar 31 ilikua siku ya 15. TECHNICALLY KWA SASA WEWE NI MAMA MJAMZITO. ANZA KUCHAGUA JINA LA KIUME, Tena umuite Cleophas, lol!kwaza za jioni.... naomba nisaidiwe nijue kama nimeshika mimba au laaaa...nimesex 31 juzi wthout kinga nina wasiwasi huenda nikawa na mimba mara ya mwisho kwenda period ilikuwa octor 16 mzunguko wangu ni wa siku 33 na sina permanent date ya p yang ninawasiwasi huenda nilipokea mimba naomba jf doctors end other member wanisaidie niondokane na wasiwasi huu kuhesabu date nashindwa kutokana na kutokuwa na tarehe kamili naomba kujibiwa nw plzzzz nisaidiwe kwa hilo .......