Ni kweli nina mimba au.......

Ni kweli nina mimba au.......

lerato

Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
41
Reaction score
4
kwaza za jioni.... naomba nisaidiwe nijue kama nimeshika mimba au laaaa...nimesex 31 juzi wthout kinga nina wasiwasi huenda nikawa na mimba mara ya mwisho kwenda period ilikuwa octor 16 mzunguko wangu ni wa siku 33 na sina permanent date ya p yang ninawasiwasi huenda nilipokea mimba naomba jf doctors end other member wanisaidie niondokane na wasiwasi huu kuhesabu date nashindwa kutokana na kutokuwa na tarehe kamili naomba kujibiwa nw plzzzz nisaidiwe kwa hilo .......
 
umesex tarehe 31,na leo ni tarehe 2.mbona una haraka hivyo.subiri kama 14 days,and then,pima kama nyumbani,ununue kipimio pharmacy au hospitali.
 
from 16 to 31 ni siku 15 ina maana umefanya mapenzi siku ya ovulation likely utapata mimba labda kama jamaa yako hajui kulenga(Anatoa infertile sperms)

By the way kwa nn unafanya mapenzi bila kinga ,maana inaonyesha hauko kwenye ndoa,Baadae utasema mimba isiyotarajiwa ,What's wrong with you Lerato?
 
ulivyokipeleka kikagongwe uliona raha,leo hesabu zinakugomea,nakushauri utumie scientific calculator siku zitabalance lol
 
Uwezekano wa ujauzito upo if other factors remain constant,jiandae kwa lolote kwamaana ya kutake responcibility 4 watever the results may b .siku nyingine play safe gal......
from 16 to 31 ni siku 15 ina maana umefanya mapenzi siku ya ovulation likely utapata mimba labda kama jamaa yako hajui kulenga(Anatoa infertile sperms)

By the way kwa nn unafanya mapenzi bila kinga ,maana inaonyesha hauko kwenye ndoa,Baadae utasema mimba isiyotarajiwa ,What's wrong with you Lerato?
 
lerato,nahisi unalijua jibu mwenyewe,kakae tu mpange kulea......nxt time mjifunze....
 
Last edited by a moderator:
Bubuji utachungulia kwa jicho lipi maana kuchungulia huwa linatumika jicho moja tu!![QUOTE=Bujibuji;4952887]njoo nikuchungulie kama nitakaona ka kizygot[/QUOTE]
 
Pia inategemea na aliye kutia...kama alikutia akiwa na mzigo wa mbegu ambao haujatumika kama siku nne hivi...hiyo ni nyavu ndogo mwanangu.

lakini watu kama akina Bujibuji ambao kila siku wanachovya...ustie shaka...

Sasa umwulize huyo kidume... "hivi mwenzangu, hauko katika kamtandao...?" sawa eeeeh?
 
Last edited by a moderator:
Ukimwi hauwezi kuisha kwa style hii, kumbe mnaogopa Mimba na siyo ngoma?
 
aiseeeeee babaangu nimepiga hesabu zangu za darasa la 3 auna mimba bali una UKIMWI hayo ndio mazara ya kutiwa vuzi kwa vuzi
 
kuna uwezekano mkubwa kuwa umepata ujauzito, maana nikihesabu naona kama siku ya 16 ndio umefanya ngono...mbegu za kiume hupoteza uwezo wake wa kurutubisha yai baada ya siku 3.

33 - 14 = 19 [Hapa nimetafuta siku yako ya ovulation, kawaida idadi ya siku zako ukitoa siku 14 ndio ovulation hutegemewa siku hiyo, moja kabla au moja baada]

19 - 3 = 16 [Sasa tukichukua siku yako ya ovulation tukatoa siku 3 za mbegu za kiume kuwa hai, tunapata siku ya 16 na ndio siku ulifanya ngono]

kwa hesabu hiyo una 50% ya kuwa na mimba.

USHAURI;
Subiri baada ya siku 8 au zaidi kidogo(hesabu kuanzia tar 31 oktoba) halafu nenda kapime mkojo wako kuhakikisha.
 
Usijali ntalea mtoto.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Acha zako, michuzi ulinogewa wewe leo unatafuta ushauri hapa? Hospitali huzijui?
 
Nyie ndo mnaua viumbe visovyokuwa na hatia kwa kutupa chooni au barabarani kwenye mifuko ya plastic. Kama hukuwa na unahitaji kuzaa kwanini usex bila condom. shame on you........
 
Kazi kweli, dada wewe peleka mpira kati tu, tayari nyavu zimeshatikisika, wewe umejiweka miguu mitano kutoka gorini halafu unategemea wenye uchu wa magoli wataacha kufanya kweli?. Ombi langu ni kwamba umlee hoyo kijana mtarajiwa maana yeye hana kosa, nyie wawili ndo mna kesi ya kujibu mbele za Mola.
 
kwaza za jioni.... naomba nisaidiwe nijue kama nimeshika mimba au laaaa...nimesex 31 juzi wthout kinga nina wasiwasi huenda nikawa na mimba mara ya mwisho kwenda period ilikuwa octor 16 mzunguko wangu ni wa siku 33 na sina permanent date ya p yang ninawasiwasi huenda nilipokea mimba naomba jf doctors end other member wanisaidie niondokane na wasiwasi huu kuhesabu date nashindwa kutokana na kutokuwa na tarehe kamili naomba kujibiwa nw plzzzz nisaidiwe kwa hilo .......
UWEZEKANO WA KUPATA MIMBA NI UNAPOFANYA NGONO WAKATI YAI LIMEANGULIWA(OVULATION), HASA SIKU YA 14 BAADA YA MENSTRUATION,(11th-17th day ili kulinada hesabu) hiki kipindi kinaitwa fertile period ambapo any attempt results into positive result. tar 31 ilikua siku ya 15. TECHNICALLY KWA SASA WEWE NI MAMA MJAMZITO. ANZA KUCHAGUA JINA LA KIUME, Tena umuite Cleophas, lol!
 
Waswahili bwana, badala ya kuwa na wasiwasi na UKIMWI anakuwa na wasiwasi na MIMBA!!!! Kazi kwelikweli!!
 
Back
Top Bottom