Ni kweli Papa Wemba kauawa na sumu iliyowekwa kwenye Mic?

Hizi habari za ujasusi una utaalam nazo mkuu? Usiongee maneno ya kusikia Tu!!!!
 
Hizi habari za ujasusi una utaalam nazo mkuu? Usiongee maneno ya kusikia Tu!!!!
Mkuu naongea kitu ambacho nakifahamu kwa kiasi fulani sibahatishi, kuna bwana mdogo mkongo alikuwa tishio miaka hiyo akiwa mtoto maisha yake pia yalipotea kwa dizain hii hii, ukiitazama hizi clip za tukio utakubaliana na mimi
 
Nenda ITC au Kinshasa kashtaki,,,,,umbea tu ulitaka aishi milele au jiuwe ukamsikilize peke yako huko alipoenda,,,tena unadai mods waache ujinga wako hapa,,sokomoko wahed bin mashadda wewe
 
Tutajie ni sumu gani hiyo, taja jina lake wachambuzi wa taaluma ya chemical wakujuze.
 
Aisee ndugu Echililo nadhani humu wanaojibu hii mada kama vile wametoka usingizini au niwale ambao hawawezi kupanganua mambo ama vepee mtu umepewa link ukatazame we hutaki unataka mabishano sasa unaposema inatuhusu nini kisa jamaa mkongo ingekuwa hio ishu imetokea kwa msanii marufu hapo bongo wala msingesema hayo yote yoote hii nikwakua hamjaelewa ninimaana ya majadiliano mnatoa tu negative stuff wabongo bhanaa kwa kupenda ubishi nakujiona wao ndio wana akili zaidi ya wengine sasa kila mtu akitaka kuwa on top kutakuwa na maelewano hapo
 
wise samura ahsante kwa kuliona hilo mkuu, watu hawajui majadiliano wanajua kubishana tu, kama hujui jambo kaa kimya ujifunze kutoka kwa wanaojua
 
wise samura ahsante kwa kuliona hilo mkuu, watu hawajui majadiliano wanajua kubishana tu, kama hujui jambo kaa kimya ujifunze kutoka kwa wanaojua
Eti inatuhusu nini?! Ebo! Hawajui kua unaweza kujifundisha kua makini coz hata wewe unaweza kufanyiwa hivyo siku moja,tunajifunza kutokana na makosa yetu na pia tunajifunza kutokana na makosa ya wenzetu, kama lengo lenu kua Papa Wemba hakua mbongo,sasa nyinyi mnavyofuatilia ligi ya Uingereza hua inawahusu nini?
 

ungetueleza kwanini unahisi wamemuwekea kitu cha kumdhuru kwenye mic tungekuelewa badala ya kuweka video clip tu ambazo tunajua zinaweza tengenezwa.
 
Kakojoe ulale haya mambo yanahitaji utumie akili pana zaidi kuyajadili na kuyatambua, tatizo lako umezaliwa juzi
Acha upuuzi wako. Kwanza lazima ujue kuwa nimezaliwa kabla ya uhuru wa Tanganyika. Wewe umekalia kukitangaza hicho kiblog chako uchwara na vijistori vya kuokota kijiweni. Hata kanuni za stage hujui. Huyo msaidizi ilibidi aondoe hiyo mic na kuiweka pembeni wakati shughuli za kujaribu kumuokoa Papa Wemba zikiendelea. Ni wapi umemuona jamaa anaondoka nayo hiyo mic? Alichofanya huyo msaidizi ni kwenda na kukaa nayo hiyo mic pembeni. Unafikiri vyombo vya muziki vinauzwa kwa shilingi tano za madafu? Kawadanganye watoto wenzako huko.

 
Nani kakudanganya kuzaliwa kabla ya uhuru ni akili nani?? Macho unayo lakini kwa kiburi tu hutaki kuyatumia
 
Ni mara chache sana utaona mtanzania akitaka kujifunza. Ama kweli mjinga ni yule anasubiri aliejaribu kushindwa na hajifunzi
 
Nani kakudanganya kuzaliwa kabla ya uhuru ni akili nani?? Macho unayo lakini kwa kiburi tu hutaki kuyatumia
Wewe mpuuzi hapo nilikuwa nakujibu uliposema nimezaliwa juzi. Kaa chonjo. Sio wote humu ni watoto wa rika lako.
 
kutupia uzi jf yataka moyo,tena moyo kweli,mijitu inaleta ujuaji tuu.kubisha au kuwa tofaut haimaanishi kuwa wewe ndo mwelevu kuliko wengine.Kama una doubts Bora ubishe kwa hoja kuliko kusema kitu kama hayo mengine hapo juu.Nahis hayo majibu yana forums zake lakini sina uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…