linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,724
- 4,381
Hizi habari za ujasusi una utaalam nazo mkuu? Usiongee maneno ya kusikia Tu!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naongea kitu ambacho nakifahamu kwa kiasi fulani sibahatishi, kuna bwana mdogo mkongo alikuwa tishio miaka hiyo akiwa mtoto maisha yake pia yalipotea kwa dizain hii hii, ukiitazama hizi clip za tukio utakubaliana na mimiHizi habari za ujasusi una utaalam nazo mkuu? Usiongee maneno ya kusikia Tu!!!!
halo news: This is the moment an African rumba singer collapsed on stage mid-way through a songnaomba video link nijiridhishe
Kula like Na GWALA mwanaaAcha kuleta udaku kwny vifo, wakifa watu maaruf tu lazima speculations zianze, mnataka tuwe tunakufa ss makapuku tu?
Angalia hii jinsi mic ilivyobadilishwa mkuu na kurejeshwanaomba video link nijiridhishe
wise samura ahsante kwa kuliona hilo mkuu, watu hawajui majadiliano wanajua kubishana tu, kama hujui jambo kaa kimya ujifunze kutoka kwa wanaojuaAisee ndugu Echililo nadhani humu wanaojibu hii mada kama vile wametoka usingizini au niwale ambao hawawezi kupanganua mambo ama vepee mtu umepewa link ukatazame we hutaki unataka mabishano sasa unaposema inatuhusu nini kisa jamaa mkongo ingekuwa hio ishu imetokea kwa msanii marufu hapo bongo wala msingesema hayo yote yoote hii nikwakua hamjaelewa ninimaana ya majadiliano mnatoa tu negative stuff wabongo bhanaa kwa kupenda ubishi nakujiona wao ndio wana akili zaidi ya wengine sasa kila mtu akitaka kuwa on top kutakuwa na maelewano hapo
Eti inatuhusu nini?! Ebo! Hawajui kua unaweza kujifundisha kua makini coz hata wewe unaweza kufanyiwa hivyo siku moja,tunajifunza kutokana na makosa yetu na pia tunajifunza kutokana na makosa ya wenzetu, kama lengo lenu kua Papa Wemba hakua mbongo,sasa nyinyi mnavyofuatilia ligi ya Uingereza hua inawahusu nini?wise samura ahsante kwa kuliona hilo mkuu, watu hawajui majadiliano wanajua kubishana tu, kama hujui jambo kaa kimya ujifunze kutoka kwa wanaojua
Habari wanaJf
Mods tafadhari hoja yangu ilindwe.
Mimi ni mmoja wa watu walioguswa sana na kifo cha nguli wa muziki wa lumba barani Afrika papa wemba, hivyo nimekua nikiangalia mara kwa mara sana clip zinazoonesha tukio la kudondoka kwake jukwaani na kupoteza maisha moja ya clip hiyo ni hii itazame kwa makini
halo news: This is the moment an African rumba singer collapsed on stage mid-way through a song
Ukiingalia kwa umakini clip hizo utagundua na kuungana nami kuwa kifo chake kinatokana na sumu zinazotumika kupitia mic kama ambavyo ziliwahi kuwaondoa wasanii wengi huko nyuma hasa wa kutoka DRC Congo
Papa wemba anadondoka chini mmoja wa wale crew badala ya kwenda kutoa msaada anawaacha wale wanenguaji watoe msaada yeye anakimbilia ile Mic aliyokuwa akiitumia Papa Wemba anaichukua na kuondoka nayo na kuacha nyingine zote kwanini??
Kwa wale wasiojua hii imekuwa njia maarufu sana ya kummaliza msanii kwa wale wabaya wake.
Hapa chini ni video ikionesha jinsi Mic ilivyobadilishwa
halo news: microphone replaced without papa wemba know
Karibu kwa mjadala
Acha upuuzi wako. Kwanza lazima ujue kuwa nimezaliwa kabla ya uhuru wa Tanganyika. Wewe umekalia kukitangaza hicho kiblog chako uchwara na vijistori vya kuokota kijiweni. Hata kanuni za stage hujui. Huyo msaidizi ilibidi aondoe hiyo mic na kuiweka pembeni wakati shughuli za kujaribu kumuokoa Papa Wemba zikiendelea. Ni wapi umemuona jamaa anaondoka nayo hiyo mic? Alichofanya huyo msaidizi ni kwenda na kukaa nayo hiyo mic pembeni. Unafikiri vyombo vya muziki vinauzwa kwa shilingi tano za madafu? Kawadanganye watoto wenzako huko.Kakojoe ulale haya mambo yanahitaji utumie akili pana zaidi kuyajadili na kuyatambua, tatizo lako umezaliwa juzi
Bado tuna safari sanaungetueleza kwanini unahisi wamemuwekea kitu cha kumdhuru kwenye mic tungekuelewa badala ya kuweka video clip tu ambazo tunajua zinaweza tengenezwa.
Nani kakudanganya kuzaliwa kabla ya uhuru ni akili nani?? Macho unayo lakini kwa kiburi tu hutaki kuyatumiaAcha upuuzi wako. Kwanza lazima ujue kuwa nimezaliwa kabla ya uhuru wa Tanganyika. Wewe umekalia kukitangaza hicho kiblog chako uchwara na vijistori vya kuokota kijiweni. Hata kanuni za stage hujui. Huyo msaidizi ilibidi aondoe hiyo mic na kuiweka pembeni wakati shughuli za kujaribu kumuokoa Papa Wemba zikiendelea. Ni wapi umemuona jamaa anaondoka nayo hiyo mic. Kawadanganye watoto wenzako.
Ni mara chache sana utaona mtanzania akitaka kujifunza. Ama kweli mjinga ni yule anasubiri aliejaribu kushindwa na hajifunziEti inatuhusu nini?! Ebo! Hawajui kua unaweza kujifundisha kua makini coz hata wewe unaweza kufanyiwa hivyo siku moja,tunajifunza kutokana na makosa yetu na pia tunajifunza kutokana na makosa ya wenzetu, kama lengo lenu kua Papa Wemba hakua mbongo,sasa nyinyi mnavyofuatilia ligi ya Uingereza hua inawahusu nini?
Wewe mpuuzi hapo nilikuwa nakujibu uliposema nimezaliwa juzi. Kaa chonjo. Sio wote humu ni watoto wa rika lako.Nani kakudanganya kuzaliwa kabla ya uhuru ni akili nani?? Macho unayo lakini kwa kiburi tu hutaki kuyatumia