Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Hahahaaah kwani alikuwa mpenzi wa muziki wa kikongo?Enzi za jamaa tayari engekwenda msibani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaah kwani alikuwa mpenzi wa muziki wa kikongo?Enzi za jamaa tayari engekwenda msibani.
Duh kutandaza miti....!!!! Ukipata maana yake nami uninong'onezeMkuu kutandaza miti ndiyo nini? Maana kiswahili nacho kina misemo mingi. Mara kupiga miti, mara kutandaza miti mara sijui nini.
Kha......lugha inazidi kukuakugegeda mkuu 'papuchi encounter'
Kwa hiyo mkuu kwa mujibu wa maelezo yako vitu muhimu ni viwili tu yaani kutafuta hela na baada ya kupata hela kinachofuata ni kugegeda tu? Hakuna jingine la maana zaidi ya hayo mawili? Na vipi kwa upande wa wanawake wakishatafuta hela na kuzipata kinachofuatia ni kutumia hizo hela "kugegedwa" au hizo hela wanapozipata wazifanyie nini?kugegeda mkuu 'papuchi encounter'
Umejuaje? How can you state that in such confidence, Hata sisi ambao kwa Kutumia Video tungeweza Kusema Kwa Kiburi tunauhakika aliuawa lakini tunabakisha nafasi ya Mashaka Wewe Unaongea kwa conclution as if you know what happen. The truth is Mimi Sijui Kama Aliuawa na Wewe Hujui Kama Hakuuwawa.
Hebu angalia Tena hii Video nyingine. Mimi Napenda Forensic science naweza Nikasema kuna uwezekano 85% aliuawa.
Umejuaje? How can you state that in such confidence, Hata sisi ambao kwa Kutumia Video tungeweza Kusema Kwa Kiburi tunauhakika aliuawa lakini tunabakisha nafasi ya Mashaka Wewe Unaongea kwa conclution as if you know what happen. The truth is Mimi Sijui Kama Aliuawa na Wewe Hujui Kama Hakuuwawa.
Hebu angalia Tena hii Video nyingine. Mimi Napenda Forensic science naweza Nikasema kuna uwezekano 85% aliuawa.
Safi sana. Yule jamaa ni msaidizi kama walivyowasaidizi wengine,pia kama aliweka sumu basi wataalamu wa sumu watafuatilia na kutoa taarifa. Wanamziki wote wa Congo wana wasaidizi wao wanaofahamika na uongozi,huwezi enda kubadiri mic pasipo kutambulika.
Safi sana. Yule jamaa ni msaidizi kama walivyowasaidizi wengine,pia kama aliweka sumu basi wataalamu wa sumu watafuatilia na kutoa taarifa. Wanamziki wote wa Congo wana wasaidizi wao wanaofahamika na uongozi,huwezi enda kubadiri mic pasipo kutambulika.
Here is the guy who was looking to run for presidency of Congo and he as well is smelling foul play. Kwenye JF kuna watu wakanushi utadhani wametumwa!
Kwasababu ni mtu aliekua na ushawishi wa kushika hisia za Wacongo wengi,kama alivyosema Mkuu pdidy kuelekea uchaguzi mkuu wa Congo angemuunga mkono bosi wa Tipimazembe, hii ilikua si rahisi Kabila amuache kirahisirahisi hivyo,wote tunamjua Kabila na uchu wake.Kwanini inafikiriwa ameuwawa kijasusi? Who is Papa Wemba?
In short Ni Malumbano Makali kuwa Papa Wemba, aliuawa Kisiasa kwa Kuonekana Kumfagilia Katumbi, Na wengine kwa Jazba wanadhani JK wa Congo anahusika moja kwa moja! Pengine hili swala litaisha hivihivi, sio kila sumu inaweza Kugundulika na Pia Mic jamaa aliiondoa, Hata kama wanamjua anaweza kuwa alikuwa insider na aweza sema alienda kuiwekea betri. Na kuna window ya mashaka kuwa anaweza kuwa alijifia tu mwenyewe. Wengine Kwa kushanganya watu akili wanaweza hata Kusema alikuwa Mtumiaji wa Viagra na Wakaja na Ushahidi. Shahidi Mkubwa wa Mauaji ni Mfu Mwenyewe na Hayupo tena! Yeye Ndiye angetuambia alijisikiaje kabla ya Kufa, alinusa nini etc. Lakini hayupo!Mkuu nadhani wewe umeelewa kilichoongelewa kwenye hizo video clips mbili. Kwa faida ya wale wakanushi na tusio wakanushi itakuwa vizuri ukatumegea japo kwa ufupi kilichozungumzwa kwenye hizo clips kwani nadhani wengi wetu hapa JF hiyo lugha iliyotumika ni ngeni kwetu.
Oooooh, ahsante mkuu. Basi kama kwenye hizo clips kuna malumbano ni kiashiria kwamba hata hapa JF kuwepo na wakanushaji kutoka pande mbili (wanaounga mkono madai ya kuwepo sumu kwenye mic na wanaopinga) ni sahihi kabisa. Hivyo hakuna haja ya upande mmoja kudai kuwa uko sahihi as long as no one can validate what he/she claims to have been the cause of our rhumba icon's death who has abruptly left us in profound grief.In short Ni Malumbano Makali kuwa Papa Wemba, aliuawa Kisiasa kwa Kuonekana Kumfagilia Katumbi, Na wengine kwa Jazba wanadhani JK wa Congo anahusika moja kwa moja! Pengine hili swala litaisha hivihivi, sio kila sumu inaweza Kugundulika na Pia Mic jamaa aliiondoa, Hata kama wanamjua anaweza kuwa alikuwa insider na aweza sema alienda kuiwekea betri. Na kuna window ya mashaka kuwa anaweza kuwa alijifia tu mwenyewe. Wengine Kwa kushanganya watu akili wanaweza hata Kusema alikuwa Mtumiaji wa Viagra na Wakaja na Ushahidi. Shahidi Mkubwa wa Mauaji ni Mfu Mwenyewe na Hayupo tena! Yeye Ndiye angetuambia alijisikiaje kabla ya Kufa, alinusa nini etc. Lakini hayupo!
LEO ina utata kulingana na kalenda ya msomaji. papa wemba alizikwa 4.5.2016 huko kijijini kwao. alitunukiwa nishan ya heshima na rais wa drc. maombolezo yanaendelea eneo la msibani kwa kucheza nyimbo za marehemu. mahasimu wake wakiongozwa na KOFFI ANTOINE OLLOMIDE hawakuhudhuria msiba. hii imeacha maswali miongoni mwa washabiki na wapenzi wa nguli huyu wa la rhumba congolese na mvaaji wa mavazi ya gharama.
More Clear Video,
Au yeye jamaa alishajiandaa asidhurike na sumu kwa kunywa lita tatu za maziwa fresh. Aaaah aaah. Ila nimependa aina ya mshono wa suruali aliyokuwa kavaa Papa pale stejini.Huyo jamaa anapoichukua mic baada PW kuanguka, anaonekana akiielekeza juu ili isimdhuru.
Ni kweli hata mi nimeona, alivoifikia mic tu, cha kwanza alichofanya ni kuielekeza juu. Au labda ndo jinsi ya ukamataji mic professional?Huyo jamaa anapoichukua mic baada PW kuanguka, anaonekana akiielekeza juu ili isimdhuru.
Hivi hajazikwa tu?