Ni kweli Papa Wemba kauawa na sumu iliyowekwa kwenye Mic?

Sijajua kwa sababu zipi mpaka wafikie kumuua jukwaani?, lakini waliopanga hayo mauaji ni wanafunzi maana muuaji ambaye anaweza kuweka sumu kwenye mic ni mtu professional killer lakini mbona wameacha ushahidi mwingi kiasi hicho

Watakuwa Labda Ni watu Professional, Lakini Kwa Kutokutaka Kustukiwa wakamtafuta Msaliti wakamlipa na wakamwelekeza cha kufanya. Si Mnakumbuka Msemo wangu Wahalifu wanafuata kufuta Ushahidi, hadi Mdomo wa Mamba? asingekuja Mara ya Mwisho Kuchukua ile Mic, angalau asingestukiwa.
 
Mambo ya uchaguzi hayo
Kwani Uchaguzi wa Congo lini, Na kwanini Auwawe Papa Wemba? Nakumbuka Komba alisemaga Yeye Na Lowassa tu, Wakaanza Kutoa picha za kumchafua, Benki ikaanza kuandama deni lake Na Kisha akafa Kabla hata watu Hawajaenda Dudu Uma!
Je Mnakumbuka Horace Kolimba alivyokuwa akisema CCM haina Dira wala Mwelekeo akaitwa Kuhojiwa na Kisha akaanguka ghafla na Kufa! akiwa kwenye Mic!
 
Na kweli ilibidi hadi wakati watu wanahangaika kumpeleka hospital ndiyo angetoa na kuwachanganya watu angetoa kama mic tano kwa mpigo halafu angefika ndani angeipoteza ile inayohusika
 
Kweli hata mimi naunga mkono hoja jamaa kauliwa.but huyo jamaa hawawezi kumjua kwelii??
 
Lakini jamaa huyu si alikuwa na ugonjwa wa moyo kwa muda mrefu, actually alilazwa hospitalini kwa wiki moja kutokana na tatizo la moyo, Daktari wake alimshauri apumzuke kwa mwezi+ lakini yeye kapuuzia ushauri na kwenda kwenye tamasha kabla hali yake haijatengamaa vizuri.

Mshindo mkubwa wa sauti ya gitaa la besi ni hatari sana kwa watu wenye matatizo ya moyo hasa hasa kama ujapumzika vizuri baada ya kuruhusiwa kutoka hospitalini, resonance frequency ya moyo wako au mapafu yako yaki shabiana/lingana/fanana na frequencies zinazo tokana na mshindo mkubwa wa sauti ya gita la besi basi moyo unatingisika kwa kufuatia sauti ya besi hii inaweza kukusabishia heart attack ukapoteza maisha, hicho ndicho kilicho tokea kwa Papa Wemba - haya mambo ya kusema kawekewa sumu kwenye mike hayana ukweli wowote.
 
Kama kweli wamemuua kwa kumuwekea sumu kwenye mic, mi naona wametumia nguvu nyingi! (Labda kuna jambo kubwa nyuma ya hayo mauaji) lakini akili ndogo waliotumia ndo inanishangaza! Kwani PW alikuwa na masilai kwenye siasa? Hawa jamaa ndo wanakuwaga hawaaminiki!"
 
Lakini jamaa huyu si alikuwa na ugonjwa wa moyo kwa muda mrefu, actually alilazwa hospitalini kwa wiki moja kutokana na tatizo la moyo, Daktari wake alimshauri apumzuke kwa mwezi+ lakini yeye kapuuzia ushauri na kwenda kwenye tamasha kabla hali yake haijatengamaa vizuri.

Mshindo mkubwa wa sauti ya gitaa la besi ni hatari sana kwa watu wenye matatizo ya moyo hasa hasa kama ujapumzika vizuri baada ya kuruhusiwa kutoka hospitalini, resonance frequency ya moyo wako au mapafu yako yaki shabiana/lingana/fanana na frequencies zinazo tokana na mshindo mkubwa wa sauti ya gita la besi basi moyo unatingisika kwa kufuatia sauti ya besi hii inaweza kukusabishia heart attack ukapoteza maisha, hicho ndicho kilicho tokea kwa Papa Wemba - haya mambo ya kusema kawekewa sumu kwenye mike hayana ukweli wowote.

May be.
 
MKUU, hakuna ukweli wowote huyo jamaa kafa a natural death.

Umejuaje? How can you state that in such confidence, Hata sisi ambao kwa Kutumia Video tungeweza Kusema Kwa Kiburi tunauhakika aliuawa lakini tunabakisha nafasi ya Mashaka Wewe Unaongea kwa conclution as if you know what happen. The truth is Mimi Sijui Kama Aliuawa na Wewe Hujui Kama Hakuuwawa.

Hebu angalia Tena hii Video nyingine. Mimi Napenda Forensic science naweza Nikasema kuna uwezekano 85% aliuawa.

Kwani Uchaguzi wa Congo lini, Na kwanini Auwawe Papa Wemba? Nakumbuka Komba alisemaga Yeye Na Lowassa tu, Wakaanza Kutoa picha za kumchafua, Benki ikaanza kuandama deni lake Na Kisha akafa Kabla hata watu Hawajaenda Dudu Uma!
Je Mnakumbuka Horace Kolimba alivyokuwa akisema CCM haina Dira wala Mwelekeo akaitwa Kuhojiwa na Kisha akaanguka ghafla na Kufa! akiwa kwenye Mic!
Tukiweka pembeni nayo ya Papa Wemba, huu sasa ndio mjadala wa nguvu. Kuhusu Komba nakiona kabisa kitu kimefichika hapo, ni wajibu kichimbuliwe
 
Jamaa anamletea PW Wireless Mic katika stand (Pengine ilikuwa na sumu Tayari) Baada ya Muda Jamaa yuleyule anakuja na Kuchukua ile Mic na kutokomea nayo (Pengine alihisi sumu haitoshi akaenda kuongezea Dose) Jamaa anakuja na Mic ikiwa Vilevile kwenye stand, Anamwekea PW, halafu anaondoka kuelekea alikotoka. Muda Mfupi PW anaanguka ghafla, Watu wanamzunguka kusaidia. Jamaa yuleyule anatokeza tena. Cha kwanza Badala hata ya Kushangaa, au hata kwa Udaku tu kuinama na Kujua PW yupo katika hali gani, Yeye Bila Kustushwa anachukua Mic ile tena, Anasogea Kidogo, anacheki Noma! Kisha anatokomea Nayo. Mwanzo Unaweza Kusema Kuwa labda Kuisogeza Mic Pembeni ni sawa ili Kupisha watu Kumsaidia PW, Lakini Lengo lake linaonekana wazi, Anachukua Mic na Kuondoka Bila Kujali au Kushangaa aliyeanguka kimempata Nini au yu hali gani. Ungedhani Mtu anayehangaika na Mics awe mhudumu na angekuwa mstari wa Mbele kusaidia. Huyu Hakuwa Ndiye "Hit Man"?

Kifupi mkuu alikuwa akitoka huko anarudi Congo kumfanyia kampeni bosi wa tp mazembe ambae anagombea uraisi nakabila hapo jiongeze
 
Mara nyingi wanawahujumu Supporters c mnakumbuka ilivyokuwa miezi ya nne hivi, mtu waliyedhania anamsupport Lowassa nusu wamtoe roho, Kisha Kumzingira!
 
Kwanini inafikiriwa ameuwawa kijasusi? Who is Papa Wemba?
 
Asiuwawe alipokua kijana mwenye nguvu aje auwawe leo keshakongoloka?

babu wa watu mwili ulishachoka na bado alikua anajaribu kukimbiza
 
Matobo ninayoyaona kwenye hoi claim ni
1. Kisayansi, sumu haisabanishi heart attach nali sumu inadababisha liver failure. Damu kabla hajaenda kwenye moyo lazima ipite kwenye liver ichujwe. Hivyo kama ina sumu organ ya kwanza kuathiriki ni ini siyo heart.

2. Kwa wale tuliowahi kujudhuria concert za wanamziki.wakubwa km PW mtu ambaye sio mmojawspo wa team ya PW huwezi ukarihusiwa kubadilisha au kurekebisha vifaa vya music. Kunakuwa na ULINZI mkali sana. Anayeruhusiwa kufanya hivyo ni fundi mitambo wao.

Kwahiyo huyo jamaa aliyekuwa anachukuwa mike na kurudi lazima awe miongoni mwa team ya PW bonginevyo wasingemuruhusu kupanda jukwaani tena zaidi ya mara 1.

Sasa km alikiwa mmojawapo wa team PW kwanini kwenye clip hii wanam refer kama jamaa as if hawamujui?
 
Lakini jamaa huyu si alikuwa na ugonjwa wa moyo kwa muda mrefu, actually alilazwa hospitalini kwa wiki moja kutokana na tatizo la moyo, Daktari wake alimshauri apumzuke kwa mwezi+ lakini yeye kapuuzia ushauri na kwenda kwenye tamasha kabla hali yake haijatengamaa vizuri.

Mshindo mkubwa wa sauti ya gitaa la besi ni hatari sana kwa watu wenye matatizo ya moyo hasa hasa kama ujapumzika vizuri baada ya kuruhusiwa kutoka hospitalini, resonance frequency ya moyo wako au mapafu yako yaki shabiana/lingana/fanana na frequencies zinazo tokana na mshindo mkubwa wa sauti ya gita la besi basi moyo unatingisika kwa kufuatia sauti ya besi hii inaweza kukusabishia heart attack ukapoteza maisha, hicho ndicho kilicho tokea kwa Papa Wemba - haya mambo ya kusema kawekewa sumu kwenye mike hayana ukweli wowote.
Safi sana. Yule jamaa ni msaidizi kama walivyowasaidizi wengine,pia kama aliweka sumu basi wataalamu wa sumu watafuatilia na kutoa taarifa. Wanamziki wote wa Congo wana wasaidizi wao wanaofahamika na uongozi,huwezi enda kubadiri mic pasipo kutambulika.
 
Back
Top Bottom