Ni kweli Papa Wemba kauawa na sumu iliyowekwa kwenye Mic?

Duh kama ni hivyo kweli hivi atakuwa amepata faida gani?
 
Hapana mkuu! Silazishi ukubaliane Na Mimi, nlikua nataka tujadiri kile tunachoona kwenye video, kwa mfano kwa uelewa wako WA Muziki WA Kongo, nilitegemea ungechangia hivi (baada ya kutazama video)....May be Swala la kutolewa Mic Na stand yake Na kuletwa nyingine Ni kawaida, hata Mic Na stand yake ilipotolewa baada ya Papaa kuanguka Ni kawaida, coz Papaa Ana Mic zake Special Na Ni za gharama kubwa, so ilijulikana hangeweza kuendelea tena Na show ndo maana Mic yake ikatolewa Ili ikahifadhiwe! Mfano hapo juu ndo nilitamani kusikia, yani maoni yako baada ya kutizama video!......na sio kukulazimisha ukubaliane Na Mimi.
 
Maelezo mazuri ingawa unaweza kuwa unapotosha...Ukiiangalia vizuri ile video yule mtoa mike alionekana kabisa ananyatia, the guy seemed not an official assistant of PAPAA WEMBA, he was the asshole bitch with coward action!!
Yes! Mkuu wewe umeitizama video, i agree with you!
 


Kwenye makala hizi ,ndipo huwa nafurahi kupata stori zako Popoma.Hata kama ni uongo,lakini unavyonegesha stori wasokujua lazima waamini.Unaandka vizuri sana,ila asilimia 90 ni kamba tupu
 

Papa Wema, Joseph Hill, Mariam Makeba wote walikufa wakifanya kile wakipendacho. Autopsy si ajabu ikaonyesha ni massive fatal heart attack iliyosababishwa na kujitumikisha kupita kiasi, kutojali afya kutokana na kuwa bize muda wote, matatizo ya moyo ya muda mrefu (yanaweza kuwa hata hayajulikani) na sometimes ni critical dehydration kutokana na homa ya kawaida tu.

When it is time to go you must go hakuna ujanja. Prince naye kaanguka kwenye elevator kutokana na matatizo ya kutojali na kutochukulia mambo serious. Ana flu anakwenda kununua over the counter medication pharmacy za Wallgreens mara kwa mara kumbe tatizo ni kubwa.

Wapumzike kwa amani wapendwa hawa. Wamekufa kwa ghafla bila mateso ya kuumwa kwa muda mrefu tena wakiwa wanafanya kile wakipendacho. Sisi hatujui tutakufaje. Mungu na Atusaidie!
 
Maelezo mazuri ingawa unaweza kuwa unapotosha...Ukiiangalia vizuri ile video yule mtoa mike alionekana kabisa ananyatia, the guy seemed not an official assistant of PAPAA WEMBA, he was the asshole bitch with coward action!!

Waafrika tunajijua wenyewe na matatizo yetu!
 
Polonium haiui mtu ghafla mkuu. Hii inakuua polepole kwa kuua viungo muhimu one after another na mwisho wake unapata massive multiple organ failure ndiyo unaondoka. Ni kifo cha mateso sana!
 

Narudia tena ili uridhike pamoja na wenzako baadhi ngoja nami japo kwa Saa tu kadhaa niungane nanyi katika mafikirio kuwa PAPA WEMBA ameuwawa kwa SUMU.
 
Kwenye makala hizi ,ndipo huwa nafurahi kupata stori zako Popoma.Hata kama ni uongo,lakini unavyonegesha stori wasokujua lazima waamini.Unaandka vizuri sana,ila asilimia 90 ni kamba tupu

😀😀😀😀😀😀😀. Halafu POPOMA Shangazi yako!
 
Kwenye makala hizi ,ndipo huwa nafurahi kupata stori zako Popoma.Hata kama ni uongo,lakini unavyonegesha stori wasokujua lazima waamini.Unaandka vizuri sana,ila asilimia 90 ni kamba tupu
Kongo kila kifo kina speculation... Naina na watanzania tumeanza kuwa hivyo
 

Huwa nawapenda mno na sana Watu wenye AKILI, UPEO, MAARIFA na FIKRA zilizotukuka kama Wewe Mkuu na umedhihirisha kuwa hukwenda Chuo Kikuu kula tu Pilau, Ugali na Chips kama wengine wanavyonithibitishia kwa aina mbovu sana na analysis wanayoifanya juu ya KIFO au sababu KUU iliyopelekea PAPA WEMBA kupoteza maisha. ANDIKO lako Mkuu limemaliza kila kitu na nadhani mada sasa iwe tu close. JF inatakiwa iwaenzi sana Watu wa aina yako wenye kujua kufanya TAFAKURI TUNDUIZI ( critical thinking ) juu ya MASUALA ( issues ) kwani ndiyo mnadhihirisha kuwa kweli JF ni home of great thinkers. Nimekukubali KUNAKOTUKUKA Mkuu safi sana!
 
Polonium haiui mtu ghafla mkuu. Hii inakuua polepole kwa kuua viungo muhimu one after another na mwisho wake unapata massive multiple organ failure ndiyo unaondoka. Ni kifo cha mateso sana!

Safi sana Mkuu. Endelea kuwapa ufahamu wa akili ili kesho na keshokutwa na wao waje kuwa " majiniasi " mbele ya jamii. Leo umenifurahisha mno hasa unavyowaumbua Watu kwa kuwashukia na nondo za maana za kiuchambuzi. Nimekukubali Mkuu keep it up! Watu wamekalia tu kusema ni SUMU huku wakishindwa hata tu kufanya tafiti zao zingine za vyanzo mbalimbali tena ambavyo vipo huko huko Abidjan nchini Ivory Coast, DR Congo, Belgium na alipokuwa physician wake wa kipindi cha nyuma aishie nchini Ufaransa ambaye kasema kila kitu kuwa Marehemu PAPA WEMBA alikuwa akilazimisha tu kuendelea kuimba lakini alimgundua kuwa na matatizo ya Moyo tokea anamtibu na kuna kipindi alipokuwa aifanya shows zake huko Ulaya alikuwa akimaliza tu basi ni lazima ampe dawa kali za maumivu na wakati mwingine alikuwa akizimia japo siyo stejini na alimzuia kutangaza hayo matatizo yake au kuyaweka wazi kwakuwa ingemuharibia kimuziki. Humu Watu wamekalia tu neno hilo hilo kuwa KAUWAWA kwa SUMU. Kweli tuna safari ndefu katika kutafuta MAARIFA! PAPA WEMBA hajawekewa SUMU wala KUROGWA bali amekufa kwa tatizo lake la muda mrefu la BLOOD PRESSURE period. Mkuu naomba nikuache uendelee kuwapanua kimawazo kama siyo kiupeo!
 
Wemba alishavuka miaka ya kuwa kileleni

Heart failure imemuua... Waafrika tunapenda sana conspiracy, mauchawi na majungu

Mkuu umepigilia kabisa msumari wa mwisho. Nakubaliana na Wewe na sijui ni lini Waafrika tutaachana na hii tabia ya kupenda sana conspiracies.
 
Hakuna cha sumu wala nini,ni wiki tatu zilizopita alikuwa Paris anatibiwa,miaka 66 kusimama jukwaani usiku wa manane siyo mchezo,halafu unaambiwa hakula dinner maana alisema atasinzia jukwaani;Any way alisema mwenyewe kuwa atakuja kufua jukwaani maana kuna wakati alikuwa anafeel like yupo flat kabisa,nilifuatilia interview yake kwenye TELESUD,hivyo siku zake zilifika heart attack inamuondoa mtu mara moja
 
Asante sana mkuu and coming from you, I am humbled. Mimi huwa ni muumini mkubwa wa rational thinking kwanza na siyo hizi conspiracy theories ambazo mara nyingi huwa hazina mashiko. Nilikuwa hata nawaza aina ya sumu inayoweza kuua mtu ghafla kwa kunusa microphone tu. Nerve agent? Sumu kama hii inakuwa dispersed through the air na ni lazima iwe concentrated na yenye nguvu sana kiasi kwamba hata anayeitega ni lazima avae mask. Hii siyo sumu ya kutegwa hovyo hovyo tu tena katika ukumbi wa dansi. Lazima kungekuwa na watu wengine ambao wangepata angalau kizunguzungu na kuanguka. Na hii ni very high risk mission kisa tu kwenda kumuua mwanamuziki ambaye hao wauaji wanaweza kumuua kirahisi tu kwani siamini kama alikuwa analindwa. High risk mission kama hizi walikuwa wanajaribu CIA wakati ule wakihangaika kumuua Fidel Castro. Lakini kwa Papa Wemba? Haiingii akilini kabisa.

I hope watafanya autopsy na ukweli utajulikana lakini uwezekano mkubwa ni mojawapo ya sababu tulizozitaja hapo juu.
 
GENTAMYCINE ukitulia unakuaga kichwa sana but maji yakijaa baharini tu majanga....respect sana kwa haya maelezo yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…