Ni kweli Papa Wemba kauawa na sumu iliyowekwa kwenye Mic?

Mkuu gentamycine embu tuambie bana uchaw wa hao jamaa wengine please ama PM mkuu nami nawafatilia ila upande huo sjawah kupagusa ila nlisikaga tena majuz tu juu ya uchaw wa koffi olomide ingawa sjaamini mkuu..

Koffi Olomide hapandi jukwaani hadi aende chooni na kujipaka mkojo wake huku JB Mpiana kila akienda kupanda jukwaani lazima ammeze chura, Werrason kila akienda kufanya onyesho lake basi lazima alale na sokwe chumbani kwake ( hapa simaanishi kuwa anafanya nae mapenzi ), Zaiko langa langa wakiwa na onyesho basi lazima watoe kafara ya Mtu ( hakuna onyesho la Zaiko langa langa likimalizika tu asife Mtu ndani au nje ya ukumbi, Extra Musica ile ya Kiongozi wao mpiga gitaa maarufu la solo Ibambi Ikombi ( wengi mnamjua kwa jina la Roga Roga ) hawapandi jukwaani hadi waogee maji ya maiti ambayo hutunzwa katika kifaa maalum, Fally Ipupa na Ferre Gola wanatumia uchawi wa aina moja ambao kama wakiwa nchini DR Congo na wana onyesho basi huenda kulala ndani ya jeneza kwa masaa machache kabla ya kwenda ukumbini na Fally Ipupa aliamua kutumia huu uchawi baada ya kushtukiwa na Wanamuziki wenzake kuamua kumtoa kafara Mama yake Mzazi ili album yake ya kwanza ambayo imemtambulisha, kumpa umaarufu mkubwa na kumtajirisha ya " bakandja " ifanikiwe, huku Hayati Pepe Kalle yeye alikuwa akipendelea sana kufanya mapenzi na wale mbilikimo ( eskimo ) kisha anawatoa kafara ya kuwauwa kishirikina na mwisho ni Hayati Madilu System ambaye yeye uchawi wake mkubwa na ambao kila mwana Congo anaujua ni tabia yake ya kupenda kuishi na majini huku akiwafanya ndondocha wana muziki wake ambao huwaona kinyota wako vizuri. Nadhani kwa ufafanuzi huu kuntu kidogo nitakuwa nimekidhi haja yako ya moyo na pia kuwa na faida kwa wengine pia.
 

Duh haya mambo yanatisha sana
 
Duh haya mambo yanatisha sana

Ndiyo maana niliogopa kuwawekeeni kwani nilijua fika kuwa mngeogopa kama siyo kutishika kabisa ila kwakuwa wengi wenu mmetaka niwaambieni basi nami " nimetiririka " ili mridhike na nikidhi haja zenu.
 
Hapo kwenye Omba nimekumbuka jb waqt anamwambia allan prince makaba de yolekibango kumaanisha kwa kupiga gitaa kawazidi wenzie mbali sana.Sio siri niliwapenda bcbg walipokuwa wote yaani werrason,Adolf,jb,emellie lemingongo,afande na mkubwa dedier masela hupata ladha yenyewe hapo.
 
Labda hujafahamu enzi zao wanamuziki wa kikongo nchini mwao walikua na mvuto mkali na ushindani baina yao... Kiasi cha kuweza hata kuwa na athari kubwa katika siasa za nchi.
 
Labda hujafahamu enzi zao wanamuziki wa kikongo nchini mwao walikua na mvuto mkali na ushindani baina yao... Kiasi cha kuweza hata kuwa na athari kubwa katika siasa za nchi.
Ok!
 
Ndugu kifo huwa kinaacha lawama na kushutumiana kwa kila namna. Si rahisi kujionyesha mbele ya watu kuwa unalengo la kumdhuru mtu kama hii video inavyoonyesha. Kumbuka hao ni wasaidizi wake na kuna walinzi na kama ni kweli wataalamu wa sumu watatoa report. Kumbuka Pepe Kale nayeye alifariki katika mazigira ambayo hayanautofauti kama haya. Nakumbuka pia kijijini kwetu mchungaji mmoja alifariki akiwa ana prune maua.
 

Safi sana Mkuu ila nakusahihisha kidogo kwa majina yao baadhi kwani umeyakosea na nimejisikia vibaya mno ukizingatia Mimi ni Mwana Bana Wenge Musica BCBG tena niliyetukuka na huniambii kitu kwa Jean Bedele Tshituka Mpiana ( JB Mpiana ) na Bendi nzima ya Wenge Musica BCBG ambayo wenye DR Congo huiita " La Machine Music " au " Le Equipe Nationale " wakiwa na maana Wenge Musica BCBG ni mashine ya muziki na pia ni sawa na timu ya taifa kutokana na kwamba imesheheni MAFUNDI watupu katika kila idara ya kimuziki.
  • Ni Adolphe ni siyo Adolf ukimaanisha anaitwa Adolphe Dominguez Demingogo.
  • Ni Amelie Byakodile na siyo Emellie Lemingongo.
  • Ni Didier na siyo Dedier ukimaanisha anaitwa Didier Masela.
 
Kaka umemaliza kila kitu,wanamziki wote wakongwe wana wapambe wao na walinzi hivyo si rahisi kumfanyia jambo lolote la hatari boss wako mbele ya watu mfn JB Mpiana hata chupa yake ya maji hushikiliwa na yule mpiga drums peke yake.
 
Umahiri huo wa spelling kweli sinao ila nashukuru umenielewa na kunijibu swali langu kwa upana kuna kisa kilizungumzwa kuhusu jb na Amida baada ya kuolewa na Didier kinuani kuwa Didier alimualika werrason atumbuize penye tafrija ya ndoa werrason akakataa japo walikuwa na ugomvi na jb je ni kweli khabari hii?
 
Mkuu baada ya Mic kubadirishwa haukupita muda Papa Wemba anaanguka chini, then baadaye unaona mic ikiondolewa, unaona mwenyewe kila kitu, sio story za hisia, yani unaona kwa macho yako.
Hata Kikwete wakati anandondoka kwenye jukwaa Mwanza wakati wa kampeni zake nayeye pia aliwekewa sumu na wasukuma tulimroga. (Maana ndivyo mnavyotaka kutukaririsha)
 
Kaka umemaliza kila kitu,wanamziki wote wakongwe wana wapambe wao na walinzi hivyo si rahisi kumfanyia jambo lolote la hatari boss wako mbele ya watu mfn JB Mpiana hata chupa yake ya maji hushikiliwa na yule mpiga drums peke yake.

Ambaye anaitwa Seguen Mignon Maniata. Bado sijaona DR Congo nzima mpiga drums wa kumzidi au kushindana na huyu Seguen Mignon Maniata.
 
Ambaye anaitwa Seguen Mignon Maniata. Bado sijaona DR Congo nzima mpiga drums wa kumzidi au kushindana na huyu Seguen Mignon Maniata.
Ni nuksi tupu mkuu sijui JB huyu jamaa akitokomea itakuwaje. Jamaa anacheza na hisia za mashabiki kinoma. Hivi kwanini ma promota wa bongo hawamleti huyu jamaa waone viuno vilivyoenda shule na show kali kama la Barca?
 

Jifunze kuacha kuwa MNAFIKI na huwa sipendi SANIFU. Nilipokugundua kuwa unanikejeli na unajua kila kitu kuhusu Wenge Musica BCBG ya JB Mpiana ni hasa hapo ulipowazungumzia akina Amida Shatou na Didi Kinuani Papa na Brian kwani kama umeweza kuwajua hawa basi ni lazima tu mambo yote ya Werrason na JB Mpiana unayajua tena hata kuliko Mimi. Naomba niishie tu hapa na niwaachie na wengine wanauujua kindakindaki ukweli wa hayo uliyoyauliza hapo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…