Ni kweli Papa Wemba kauawa na sumu iliyowekwa kwenye Mic?


Ili kunogesha maelezo yako, naomba utuletee hizi habari za uchawi asap kabla vuguvugu la Papaa halijapoa
 
ukiweka huu uzi wa uchawi unitag
 

Mkuu big up kwa uchambuzi wako...ila inatisha kweli..Pesa hizi zinavyotafutwa..
Nikuulize sasa mkuu je hawa Wacongo walioko hapa kwetu kina Nyoshi Elsadati wao hawatumii mambo hayo ili watoke?
 

Je yule mpiga drums wa koffi alikuwa akifunga nywele zake nyuma simjui jina lake..naona nae alikuwa mkali wa kupiga hizo drums.
 
Hakuna sumu dunuani inaweza kuua kwa spidi namna hiyo. Vinginevyo hata aliyeipeleka angeathirika.
 

Congo Television Inasema Kwamba Papa Wemba Aliwekewa Sumu Kwenye Mic Yake.

Mwangalie Huyu Jamaa, Katoa Mic Akaweka Nyingine Na Baada Ya Papa Wemba Kuanguka Akaja Fasta Kuitoa Mic Badala Ya Kumpa Msaada.

Angalia Hiyo Video Hapo.
 
Da, nimeipenda hii, ila hapo kwa Werrason aliwezaje kumwachia Herrite Watanabe wakati sauti zao in tofauti kabisa
 
Mkuu big up kwa uchambuzi wako...ila inatisha kweli..Pesa hizi zinavyotafutwa..
Nikuulize sasa mkuu je hawa Wacongo walioko hapa kwetu kina Nyoshi Elsadati wao hawatumii mambo hayo ili watoke?

Mkuu akhsante sana. Hakuna Bendi hapa Tanzania ambazo HAZIROGI au kufanya ULOZI. Nashindwa kuweka kila kitu hapa bayana Mkuu kwakuwa hizo Bendi zote za hapa Bongo Wanamuziki wake hasa wa Kikongo na ukiachilia baadhi wa Kitanzania kama Ally Choki, Charles Baba Kingunge na Mtani wangu Mwana Yanga aliyetukuka Muumin Mwinjuma ni Washikaji zangu kinomanoma hivyo moyo wangu unanisuta kuwawekea hapa mambo yao hadharani. Hata hivyo kwa sasa yaani hadi hivi naandika hili bandiko Bendi zinazoongoza kwa KUROGANA tena UCHAWI wa hatari kabisa ni mbili tu Twanga Pepeta na Mashujaa huku FM Academia wakiwa sasa wameamua kumrudia Mwenyezi Mungu baada ya kumfanya mwenzao NDONDOCHA LAO yule mwimbaji mahiri sana aitwae Kabesa. Ukimwona sasa hivi Kabesa unaweza UKATOKWA na machozi hadi Kesho kwa jinsi anavyoteseka kwa kufanywa kitu mbaya na Wenzake wa FM Academia.
 
Ulete huo uzi faster
 
Je yule mpiga drums wa koffi alikuwa akifunga nywele zake nyuma simjui jina lake..naona nae alikuwa mkali wa kupiga hizo drums.

Wote hao Mkuu ni Wanafunzi wa mpiga drums mahiri ambaye hajawahi kutokea DR Congo kwa kizazi hiki cha kati aitwa Titina Mbwinga Alcapone " Le grand prete ". Hao wapiga drums ( chips ) wote unaowajua Wewe wawe wa kwa Koffi, JB Mpiana, Werrason, Ferre Gola, Fally Ipupa, Felix Wazekwa na hata huyo wa Extra Musica ni Wanafunzi wa Titina japo kwa sasa anayeonekana kabisa kumkaribia Titina ni huyu mpiga drums wa Wenge Musica BCBG inayoongozwa na JB Mpiana aitwae Seguen Mignon Maniata.
 
Da, nimeipenda hii, ila hapo kwa Werrason aliwezaje kumwachia Herrite Watanabe wakati sauti zao in tofauti kabisa

Wakongo ni Watu wa kukurupuka na kutaka sana UFAHARI na KUJULIKANA hivyo akishajiona tu ANAKUBALIKA na mashabiki huamua na wao kuanzisha Bendi zao ambazo hata hivyo wengi wao waliozianzisha hawajafanikiwa na hatimaye kujikuta wanarudi kwa Walezi wao akina Koffi, JB na Werrason.
 
Ndugu observation yako ina convince, kweli yule jamaa wa MIC muda wote yeye hana habari na pp wemba, yeye ali stick na MIC tu
 

Nataka kujua uchawi wao siogopi chochote
 
Ndugu observation yako ina convince, kweli yule jamaa wa MIC muda wote yeye hana habari na pp wemba, yeye ali stick na MIC tu
Sure! Katika hari kama ile ambapo Kila mtu alikua anajaribu kutoa Huduma ya kwanza kwa Papaa, unaona Kila mtu amepagawa, yeye anapata wapi nguvu ya kujishughurisha na Mic?
 
Titina capone nilimkubali penye utunzi wa tour eiffel kile kibao kwangu mimi kimetulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…