Aisee hii ni zaid ya hatari.....sijui wakogo watamchukuliae huuyu jamaa mishe zake zote zmekuwa captured...........
Hisia tu
hiyo ni video sio picha sawaWeka na maelezo kidogo, picha peke yake hatujaelewa
Kuna taarifa Manager anasema yule ni technician, kwa sababu ya uzee mara nyingi alikuwa anatumia stend ya mic, na yule jamaa kazi yake ni kuleta stend inapohitajika na kuitoa mara moja ikiwa haina kazi.
Na kilicholetwa na jamaa ni stend, siyo mic.
Hamna kitu hapo. Huyo atakuwa fundi mitambo.