Ni kweli Papa Wemba kauawa na sumu iliyowekwa kwenye Mic?

Ni kweli Papa Wemba kauawa na sumu iliyowekwa kwenye Mic?

Kuna taarifa Manager anasema yule ni technician, kwa sababu ya uzee mara nyingi alikuwa anatumia stend ya mic, na yule jamaa kazi yake ni kuleta stend inapohitajika na kuitoa mara moja ikiwa haina kazi.

Na kilicholetwa na jamaa ni stend, siyo mic.
 
alitoa stand akaleta stand nyingine yenye mic
 
Hizo ni hisia tu za watu (conspiracy).Na meneja wa Papa Wemba anatafuta njia ya kuwafungulia mashtaka waliotengeneza hiyo video ya 'muuaji'
 
Hamna kitu hapo. Huyo atakuwa fundi mitambo.

hoja yako nini?! we hujui hata mnayejifunika naye shuka kila siku anaweza kukuua?! je utasema 'mamna kitu hapo huyo ni mke/mme wake?!'
 
Ni hatari na somo kwa wanamuziki wetu. Tunawapenda sana inabidi wachukue tahadhari kwa kuwa na kikosi maalumu ya kuwalinda
 
Aliemuua papa wemba ni Israel, kwa maagizo ya sir God.

Binadamu acheni kushikana uchawi ilhali mchawi halisi anajulikana
 
Back
Top Bottom