Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ni hivi; kwenye show za wezetu huwa kuna watu wanakuwa kwenye steji kama wasaidizi na walinzi pia marafiki wa karibu. Piga ua kama hawakufahamu huwezi kuwa upande huo. Angalia show za Werra na JB Mpiana hadi kuna wanawake special wanakuwa wako huko pasipo kazi maalumu. Hicho ni kifo tu cha kawaida wala sifikirii chochote kuhusu huyo kijana (msaidizi).Kama Ni kweli uzembe wake utaonekana akikamatwa, coz hata video haionyeshi sura yake vizuri!
Tatizo lako ndio hilo gentamycine nadhani sijawahi na sitegemei kumsanifu mtu humu ndani khabari hizo nilizisikia lakini kwa uelewa wako na namna unavyowazungumzia watu hao ni dhahiri ningepata majibu murua katika swali langu.So hilo la unafiki sina na niliheshimu uelewa wako ndo maana nikauliza ila tusifike mbali zaidi ya hapa naujali na kuuthamini sana uelewa wako so kama unadhani kuna unafiki hapo shaka ondoa mwisho nashkuru kwa majibu yako tuendelee kuijenga jf dhana si jambo jema.Jifunze kuacha kuwa MNAFIKI na huwa sipendi SANIFU. Nilipokugundua kuwa unanikejeli na unajua kila kitu kuhusu Wenge Musica BCBG ya JB Mpiana ni hasa hapo ulipowazungumzia akina Amida Shatou na Didi Kinuani Papa na Brian kwani kama umeweza kuwajua hawa basi ni lazima tu mambo yote ya Werrason na JB Mpiana unayajua tena hata kuliko Mimi. Naomba niishie tu hapa na niwaachie na wengine wanauujua kindakindaki ukweli wa hayo uliyoyauliza hapo juu.
Ni kweli huyu jama wa bcbg anapiga drums vizuri lakini kiukweli hebu weka mapenzi ya bcbg pembeni ,mi naona yule jamaa Estatica ndo kiboko yao kwa drums kwa wapiga drum wakikongo kwa mfano wimbo maarufu wa Fally wa Bakandja,hebu cheki jamaa alivyozikunguta mle.Ambaye anaitwa Seguen Mignon Maniata. Bado sijaona DR Congo nzima mpiga drums wa kumzidi au kushindana na huyu Seguen Mignon Maniata.
Mkuu mimi ni mpenzi sana wa Hao wana mziki wa Congo wote uliowataja hapo juu, tafadhali naomba utuaimulie wayafanyayo ili tufanye maamuzi mapema wengine hapa.Kusema ukweli sijapata nafasi ya kuitizama ila kidogo Mkuu wangu nina uzoefu na hawa Wanamuziki hasa wa miziki hii ya dansi ya Kikongo na hata hapa kibongo bongo kwa hizi bendi zetu pia. Sitaki uamini 100% yale maelezo yangu kwani yawezekana ikawa ni Sumu kama usemavyo ila nimekuelezea tu kwa uzoefu wangu na ni ngumu mno kuwekewa SUMU katika Mic anayoenda kutumia isipokuwa ungeniambia kuwa alifanyiwa UCHAWI ningekuamini kwa asilimia zote kwani hakuna Mwanamuziki unayemjua Wewe wa DR Congo ambaye HAROGI. Kuna siku nitakuja na UZI hapa nikuambie UCHAWI wa wote hao hasa hasa Koffi Olomide, JB Mpiana, Werrason, Roga Roga wa Bendi ya Extra Musica, Zaiko Langa Langa, Hayati Pepe Kalle, Hayati Madilu System na hawa vijana wa sasa wawili Fally Ipupa na mwenzake Fere Gola. Mkuu nikikuambia wanayoyafanya unaweza hata ukaogopa kulala au ukazichukua dvd zao hapo ulipo sasa na ukazichoma moto! Wanamuziki ambao najua walikuwa HAWAROGI ni Hayati Franco na Hayati Tabu Ley pekee.
Utamfahamu lini na miziki yenu ya kushikilia korod..ni hiyoPapa Wemba? Ndiye nani mbona simjui? Kuna single yoyote kabisa na Ally Kiba au Sugu?
Na alikua anaishi wapi hapa Dar?
Ni kweli huyu jama wa bcbg anapiga drums vizuri lakini kiukweli hebu weka mapenzi ya bcbg pembeni ,mi naona yule jamaa Estatica ndo kiboko yao kwa drums kwa wapiga drum wakikongo kwa mfano wimbo maarufu wa Fally wa Bakandja,hebu cheki jamaa alivyozikunguta mle.
Mkuu mimi ni mpenzi sana wa Hao wana mziki wa Congo wote uliowataja hapo juu, tafadhali naomba utuaimulie wayafanyayo ili tufanye maamuzi mapema wengine hapa.
Papa Wemba? Ndiye nani mbona simjui? Kuna single yoyote kabisa na Ally Kiba au Sugu?
Na alikua anaishi wapi hapa Dar?
Mbona tayari nimeshaweka kila kitu chao hadharani Mkuu? Angalia posts zangu kuanzia page ya 5 nimeweka aina yao ya uchawi wanaoutumia. Ipitie ili upate maarifa zaidi.
Popoma katika ubora wako
Shikamoo mzee
Kwanini jembe langu? Funguka tafadhali.Kuvuta Bangi / Bange huku hujala na pengine huna hata matarajio ya kula kuna madhara sana!
Ipo haja ya JF kuwakumbuka ndugu zetuNaona kuna haja ya kuanzisha jukwaa la wakongomani
Mkuu cku tena kwann isiwe leo utupe iyo storyKusema ukweli sijapata nafasi ya kuitizama ila kidogo Mkuu wangu nina uzoefu na hawa Wanamuziki hasa wa miziki hii ya dansi ya Kikongo na hata hapa kibongo bongo kwa hizi bendi zetu pia. Sitaki uamini 100% yale maelezo yangu kwani yawezekana ikawa ni Sumu kama usemavyo ila nimekuelezea tu kwa uzoefu wangu na ni ngumu mno kuwekewa SUMU katika Mic anayoenda kutumia isipokuwa ungeniambia kuwa alifanyiwa UCHAWI ningekuamini kwa asilimia zote kwani hakuna Mwanamuziki unayemjua Wewe wa DR Congo ambaye HAROGI. Kuna siku nitakuja na UZI hapa nikuambie UCHAWI wa wote hao hasa hasa Koffi Olomide, JB Mpiana, Werrason, Roga Roga wa Bendi ya Extra Musica, Zaiko Langa Langa, Hayati Pepe Kalle, Hayati Madilu System na hawa vijana wa sasa wawili Fally Ipupa na mwenzake Fere Gola. Mkuu nikikuambia wanayoyafanya unaweza hata ukaogopa kulala au ukazichukua dvd zao hapo ulipo sasa na ukazichoma moto! Wanamuziki ambao najua walikuwa HAWAROGI ni Hayati Franco na Hayati Tabu Ley pekee.
Kwanini jembe langu? Funguka tafadhali.
Mkuu cku tena kwann isiwe leo utupe iyo story
Aiseeee! Mkuu hizi ni habari toka kwa wanahabari vilaza, few weeks ago Papa Wemba alianguka (Paris) akashauriwa na Dr. apumzike, baadae alipopona akapewa go ahead tena ya kuendelea na kazi yake.
Pia yeye mwenyewe alijitabiria kifo chake (aliwish afe akiwa stejini).
Tatu tutaishi tupendavyo lakini kifo hakizuiliki. Mda wa Mzee Wemba karudisha amana kwa muumba wake ulifika.