Ni kweli Professor Palamagamba Kabudi yupo kwenye mikono salama?

Ni kweli Professor Palamagamba Kabudi yupo kwenye mikono salama?

Kabudi hana hata uwezo wa kupanua kwapa zake, hapo penyewe amshukuru Magu, vinginevyo angekua hapo Jalalani ana randa randa kutafuta mkate wake wa kila siku.

Haiwezekani kabisa.
 
Back
Top Bottom